Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKIAGANA NA RAIS WA DRC TSHISEKEDI BAADA YA MKUTANO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo Baada ya Mkutano wa Viongozi, Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika Mji wa Kinshasa nchini DRC.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini moja ya maazimio katika Mkutano wa Viongozi, Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika Mji wa Kinshasa nchini DRC.

About the author

mzalendoeditor