slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI MHAGAMA AMUAGIZA MRATIBU WA TASAF WILAYA YA MADABA KUHAKIKISHA WOTE WANAOSTAHILI KUINGIZWA KWENYE MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI WANAANDIKISHWA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

……………………………………

Na. Veronica E. Mwafisi-Madaba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amemuagiza Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma kuhakikisha anafanya ufuatiliaji katika halmashauri hiyo na kuwatambua wote wenye sifa za kuingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wanaandikishwa ili wanufaike na mpango huo kwa lengo la kuboresha maisha yao.

Mhe. Jenista ametoa maagizo hayo alipokuwa akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa shughuli za TASAF katika halmashauri hiyo.

Waziri Jenista amesema, inawezekana kabisa katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kuna baadhi ya wananchi ambao wana sifa za kuingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini lakini hawajaingizwa kutokana na sababu mbalimbali, hivyo Mratibu wa TASAF, Halmashauri hiyo ni lazima afuatilie ili watu hao waweze kuingizwa kwenye mpango huo na kuanza kupata huduma.

“Mratibu wa TASAF wa Halmashauri, ninakuagiza kufanya ufuatiliaji na kuwatambua wananchi wote wenye vigezo vya kuingizwa kwenye mpango lakini wameachwa, baada ya kuwatambua uwasilishe taarifa zao TASAF Makao Makuu ili waweke utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohudumiwa walengwa wengine,” Mhe. Jenista amesisitiza.

Aidha, Mhe. Jenista amewataka walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini ambao wana uwezo wa kufanya kazi, kuibua miradi yenye faida kwa wananchi ili TASAF iweze kuiweka kwenye mpango kwa ajili ya kutekelezwa. 

 “Pamoja na kupeleka fedha moja kwa moja kwa walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, TASAF pia ina maeneo ambayo walengwa hao wanaweza kuyafanyia kazi kwa kuibua miradi ya aina mbalimbali mfano miradi ya vivuko, barabara, uboreshaji wa visima, kujenga madaraja na madarasa, hivyo walengwa wenye uwezo wa kufanya kazi wanaweza kuibua miradi hiyo na kupata ujira.” Mhe. Jenista amefafanua.

Mhe. Jenista amewataka Viongozi na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba kujipanga kikamilifu katika usimamizi wa miradi hiyo inayoibuliwa na walengwa hao kwani ina manufaa makubwa kwa wananchi.

Mhe. Jenista yuko mkoani Ruvuma kwenye ziara ya kikazi yenye lengo la kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, Mkoani Ruvuma, Bi. Geloada Fusi alipokuwa akieleza namna TASAF ilivyomuwezesha kuboresha maisha yake wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, Mkoani Ruvuma, Bi. Maklina Mhagama alipokuwa akieleza namna TASAF ilivyomuwezesha kuboresha maisha yake wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba, mkoani Ruvuma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Kanali Laban Thomas akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kuzungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri Jenista ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

Mbunge wa Jimbo la Madaba, Mhe. Joseph Mhagama akitoa salamu za jimbo lake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri Jenista ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma.

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. John Steven akitoa salamu za TASAF kwa walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Kijiji cha Mtyangimbole, Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika halmashauri hiyo.

About the author

Alex Sonna