marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

betebet

Featured Kitaifa

WAJERUMANI WAIMARISHA AFYA ZANZIBAR

Written by Alex Sonna

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (KULIA) akimkabidhi zawadi maalum Mbunge wa Chama cha Social Democratic Part  cha Ujerumani Tina Rudolph wakati alipofika Ofisini kwake Mnazimmoja kuendeleza mashirikiano   Kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Ujerumani .

……………………………….

Na Rahma Khamis Maelezo Zanzibar 

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe, Nassor Ahmed Mazurui Amesema kuwa Serikali ya Ujerumani imekusudia kuanzisha mfuko wa bima ya Afya (Health Insuarence)   ambao utasaidia wananchi kuwapunguzia gharama za matibabu na kuweza  kupata huduma bora Nchini .

 Ameyasema hayo huko Ofisini kwake Mnazimmoja wakati alipotembelewa na  wabunge wa chama cha Social Democratic Part cha Ujerumani   kujadili namna  ya kupunguza na kumaliza  maradhi mbalimbali ikiwemo  Kifua Kikuu,HIV,Homa ya Ini na Malaria.

Amesema kuwa ni muhimu sana kutumia bima kwani kutasaidia kuinua hali za wanyonge ambao hawawezi kumudu gharama kubwa za matibabu hivyo  kutawezesha kupunguza ugumu wa gharama za matibabu kwa wananchi wa Zanzibar.

Aidha  Mhe.Mazrui  amefahamisha kuwa ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Zanzibar na Serikali  ya Ujerumani unazidi kuimarisha sekta ya Afya Nchini kwani umesaidia kwa kiasi kikubwa katika  kupunguza maradhi mabalimbali.

“  ujio wa Wabunge  hawa utaimarisha mashirikano kati yetu  na Wajerumani na   utasaidia zaidi kuimarisha Sekta ya Afya katika kukabiliana na Maradhi mbalimbali, endapo tutauzinduwa mfuko huu utatuinua kimatibabu  kwani Wananchi wengi hatumudu gharama kubwa  za matibabu”.alisema Waziri huyo.

Hata hivyo Waziri Mazrui amewahakikishia wabunge hao kuwa msaada wao wanaoutoa  unatumika vizuri  katika kuimarisha matibabu kwa kununua vifaa tiba ambavyo vinasaidia wagonjwa na wananchi kwa ujumla.

Nao wabunge  hao wameahidi kuendeleza ushirikiano wao kwa lengo la kustawisha afya za wananchi wote wa Zanzibar.

Tokea 2002 Ujerumani imeanzisha ushirikiano na Zanzibar ambapo ilianzisha mfuko wa( Global Fund)  unaosaidia   kupambana na maradhi mbalimbali Nchini. 

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Wabunge wa Chama cha Social Democratic Part  cha Ujerumani  walipofika Ofisini kwake Mnazimmoja  kutaka mashirikiano katika mambo mbalimbali ya Maendeleo ya Afya . 

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui (KULIA) akimkabidhi zawadi maalum Mbunge wa Chama cha Social Democratic Part  cha Ujerumani Tina Rudolph wakati alipofika Ofisini kwake Mnazimmoja kuendeleza mashirikiano   Kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Ujerumani .PICHA NA FAUZIA MUSSA- MAELEZO ZANZIBAR

About the author

Alex Sonna