Uncategorized

RAIS SAMIA AELEKEA DR CONGO KUHUDHULIA MKUTANO WA SADC

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

About the author

mzalendoeditor