Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA WADAU WA SEKTA BINAFSI KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Benki ya Stanbic Bw. Kevin Wingfiel  kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum  wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

************************

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema takwimu za Sensa ya Watu na Makazi zitawasaidia wafanyabiashara kutathmini uwezo wao wa kibiashara au uwezo wa mitaji kutoa faida na kutafuta maeneo mapya ya uwekezaji.

“Wafanyabishara wakubwa kwa wadogo hutumia takwimu za sensa kutathmini uwezo wa kibiashara wa makampuni, uwezo wa mitaji kutoa faida na kutafuta maeneo mapya ya uwekezaji na kupitia takwimu za sensa, menejimenti na bodi za makampuni ya biashara na taasisi za uwekezaji za ndani na nje hupata uhakika wa kitakwimu ambao huwaongezea kujiamini na kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati,” amesema.

Ametoa kauli hiyo leo (Jumatatu, Agosti 15, 2022) wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi juu ya umuhimu wa ushiriki wao kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022 kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Amesema wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo wanategemea takwimu za sensa kufanya maamuzi ya uwekezaji ikiwemo huduma mbalimbali kama maduka makubwa, upanuzi wa shughuli zao kama maghala ya kuhifadhia na kusambazia bidhaa, maeneo bora ya kutangaza biashara zao, masoko mapya na kubuni bidhaa mpya pamoja na aina ya huduma kama za hospitali, sehemu za starehe na sehemu za kufanyia mazoezi.

Amemshukuru Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuridhia, kuthamini na kutilia mkazo mkubwa masuala ya takwimu na kuruhusu mwaka huu Tanzania ifanye Sensa kwa mujibu wa Miongozo ya Umoja wa Mataifa.

“Kitendo cha Mheshimiwa Rais kuridhia kutekeleza sensa ya sita mwaka huu kinaonesha uimara wa  uongozi wa Kiongozi wetu na utekelezaji wa takwa hili ni kwa faida ya nchi yetu na ulimwengu kwa jumla.”

“Sensa ya Watu na Makazi ni muhimu kwa kuwa moja ya mikakati ya kiuchumi ya Tanzania ni kuvutia uwekezaji na kuboresha kiwango cha maisha cha wananchi wake. Uwepo wa takwimu bora za Sensa ya Watu na Makazi utasaidia kuharakisha utekelezaji wa mikakati hiyo,” amesema Waziri Mkuu.

Akizungumzia umuhimu wa sensa kwa wafanyabiashara Waziri Mkuu amesema: “Kwa Jumuiya ya Wafanyabiashara, sensa ni chanzo cha msingi cha taarifa za kidemografia na ukuaji wa soko la bidhaa na huduma katika nchi zote duniani. Takwimu zote za biashara zinahitaji takwimu za idadi ya watu kama kigezo cha msingi cha kufanya maamuzi ya uwekezaji, uzalishaji na biashara.”

Ametoa pongezi pia kwa vyombo vya habari kwa ushiriki wao mkubwa katika kutoa hamasa kwa jamii na kuwaelezea umuhimu wa sensa ikiwemo kuwajulisha kuwa sensa hiyo itafanyika lini. Amesema utafiti uliofanywa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) Julai mwaka huu ulionesha kuwa asilimia 98 ya Watanzania wanatambua uwepo wa sensa

“Kitendo cha kuwaonesha wananchi nini kitaulizwa, kimesaidia kuwaandaa wananchi kuhusu zoezi hili. Wasanii mbalimbali nchini wametoa elimu kwa kiwango kikubwa, viongozi wa dini nao wamefanya kazi kubwa na nzuri sana ya kuwaandaa wananchi, ninawashukuru sana.”

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na wadau hao, Waziri wa Nchi (OWM-SBU), Bw. George Simbachawene alisema mpaka sasa maandalizi ya zoezi la sensa yamefikia asilimia 95. “Asilimia hii tano iliyobakia tusiidharau. Kulingana na muda uliobaki, mimi pamoja na wenzangu tutajitahidi ili tufike kwenye ufanisi unaotarajiwa wa asilimia 100,” alisema.

Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Bw. Paul Makanza alisema wameshirikiana na Serikali katika vikao kadhaa na kuainisha maeneo saba ambayo wanaweza kuunga mkono.

Aliyataja baadhi ya maeneo hayo kuwa ni utoaji wa huduma, vifaa, utoaji elimu, usafiri, usafirishaji wa vifaa, utoaji wa matangazo na kuchangia mafuta ya magari. Alisema baadhi ya kampuni za simu zilianza kurusha jumbe fupifupi kwa wateja wao, vituo vya redio na televisheni navyo vilianza matangazo kuhamasisha jamii.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. George Simbachawene wakati alipohudhuria mkutano wa wadau wa Sekta binafsi juu ya ushiriki wao katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi,  15 Agosti 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala na kulia ni Kamisaa wa Sensa  Tanzania Bara Anne Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Benki ya Stanbic Bw. Kevin Wingfiel  kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum  wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Bi. Rukia Mtingwa Meneja Uhusiano wa kampuni ya MIC Tanzania wamiliki wa Makampuni ya simu ya Tigo na Zantel  kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa Sekta binafsi juu ya ushiriki wao katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, 15 Agosti, 2022, Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo Bi. Annette Kanora  ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom  kutokana na mchango wao kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, wakati alipohudhuria mkutano maalum wa wadau wa Sekta Binafsi, 15 Agosti, 2022 Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna