Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

kavbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

1win

holiganbet

pusulabet

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

kavbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

MAJALIWA ATOA RAI VIONGOZI WA DINI WAENDELEE KUOMBEA AMANI TANZANIA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa kusoma na kuhifadhi Quran (Riwayat Warsh) Murtado Katibi kutoka Nigeria, wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza akimpongeza mshindi wa tatu wa kusoma na kuhifadhi Quran Saima Hassan kutoka Tanzania, wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa  Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika, Mohamed Rifk alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema viongozi wa dini hawana budi kuendelea kuiombea amani Tanzania pamoja na viongozi wake kwani bila amani hata kusanyiko la kidini haliwezi kufanyika.

Akinukuu Quran tukufu sura ya 2, aya ya 126 (Quran 2:126), Waziri Mkuu amesema nabii Ibrahim aliuombea mji wake na wakazi wake amani na neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu.  “Nami nitoe rai kwa viongozi wetu wa dini, waendelea kuiombea nchi yetu na viongozi wake ili waendelee kuliongoza vema Taifa letu ikiwa ni pamoja na kujenga umoja na mshikamano, kudumisha amani na kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii.”

Ametoa wito huo leo (Jumapili, Agosti 14, 2022) kabla ya kukabidhi tuzo kwa mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Quran barani Afrika katika mashindano yaliyofanyika kwenye msikiti wa Mfalme Mohammed VI, ulioko Kinondoni makao makuu ya BAKWATA, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yamefadhiliwa na Taasisi ya Mfalme wa Morocco Ulamaa Afrika.

Akizungumza kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu amesema kusanyiko hilo ni kielelezo cha utukufu wa Quran barani Afrika kwani limejumuisha washiriki 88 kutoka nchi 34 barani Afrika.

Amesema katika zama hizi dunia inashuhudia kuongezeka kwa vitendo viovu ikiwemo watoto kuuwa wazazi wao; ulawiti; ubakaji hususani kwa watoto na wanafunzi; watoto na vijana kutowaheshimu watu wazima; uvaaji wa mavazi yasiyo na stara hususani kwa wasichana na wavulana na matumizi ya madawa ya kulevya.

“Tunapaswa kutambua kuwa tupo katika zama zinazokabiliwa na mmomonyoko mkubwa wa maadili kwa rika zote. Ni jambo zuri, jambo bora na jambo tukufu kabisa kukaa, kuisoma na kuisikiliza Quran. Lakini swali la msingi ni kwa kiasi gani tunaizingatia hii Quran katika mwenendo mzima wa maisha yetu ya kila siku. Kwa lugha nyingine, tunapowahifadhisha Quran vijana wetu tuhakikishe jambo hilo jema linakwenda sambamba na ujenzi wa misingi imara katika kujenga jamii bora,” amesema.

Amesema Quran inapaswa kuwa chanzo cha kutegemewa cha mafunzo sahihi ya tabia njema, utii na kuheshimu mamlaka zilizopo. “Tukiwalea vijana wetu katika mafunzo haya tutakuwa tunamsaidia mlezi wetu namba moja Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anaguswa na suala zima la maadili hususan kwa vijana kuwa na wasaidizi wacha Mungu na waadilifu katika kutekeleza majukumu yao.”

Waziri Mkuu ametoa rai kwa viongozi wa dini wahakikishe kuwa vijana wanaweza kuhifadhi Quran lakini pia wawe wamehitimu katika fani mbalimbali. “Kijana akihitimu fani yake siyo rahisi kumuona akienda kinyume na maadili ya taaluma yake. Kwa hiyo, Quran ni mchunga wa nafsi ya mtaalamu huyo na hivyo, kumfanya aonyeke dhidi ya kufanya vitendo vinavyokwenda kinyume na uadilifu.“

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki wa hafla hiyo ya kutoa tuzo kwa washindi, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir alimshukuru Mfalme wa VI wa Morocco na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mfalme wa Morocco Ulamaa Afrika, Bw. Mohammed Rifqiy kwa kuamua kuleta mashindano hayo Afrika Mashariki.

“Uamuzi wao wa kuleta mashindano haya umetuwezesha kuona jinsi Quran ilivyokuwa inaandikwa kwa mkono hadi kufikia hatua ya sasa ya kuchapisha. Wenzetu wa Afrika Magharibi wamezoea kuyaona haya.”

Miongoni mwa washindi waliotia fora ni binti wa miaka 14, Saima Hassan Suleiman wa Dar es Salaam ambaye aliibuka mshindi wa kwanza katika kundi la pili la kusoma Quran na kuhifadhi juzuu 30.

Saima ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Shaaban Robert ya jijini Dar es Salaam, alisema amekuwa akijifunza Quran tangu alipokuwa na miaka mitano. Kundi hilo lilikuwa na washindi wawili wa Tanzania akiwemo Ahmed Salum Mbweta ambaye ameibuka mshindi wa tatu.

Mshindi wa kwanza katika kundi la kwanza la kusoma na kuhifadhi Quran kwa mtindo wa riwaya ya warshi (Riwayat Warsh) ni Murtado Olatunji Katibi wa Nigeria. Wa pili ni Abdinassir Hassan Ibrahim kutoka Somalia na wa tatu ni Khatry Dakhay kutoka Mauritania.

Katika kundi la tatu ambalo ni la tajwid, mshindi wa kwanza alikuwa ni Ustaadh Ahmad Salim Mbwewa ambaye ni mwalimu wa watoto jijini Dar es Salaam.

About the author

Alex Sonna