Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:MAKAMU WA RAIS AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 13 Agosti 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam. Hapo kesho tarehe 14 Agosti 2022 Makamu wa Rais atashiriki CRDB Bank Marathon maalum kwaajili ya kusaidia Watoto wenye magonjwa ya moyo na wakina mama wenye ujauzito hatarishi.

About the author

mzalendoeditor