Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA IRINGA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Iringa. Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi imefanyika katika Mtaa wa Mapanda kata ya Nduli Mkoani Iringa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Mapanda mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa

About the author

mzalendoeditor