Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

pusulabet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

royalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

imajbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

tambet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

SERIKALI KUWEKEZA KATIKA MAKAZI YA KUWATUNZA WAZEE

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akimsikiliza Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee Fungafunga yaliyopo Mkoani Morogoro Bi. Rehema Kombe wakati alipotembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika makazi hayo.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akikagua bustani za mbogamboga zlizopo katika Makazi ya Wazee Fungafunga, Mkoani Morogoro wakati alipotembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika makazi hayo.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akizungumza na Wazee wanahudumiwa katika Makazi ya Wazee Fungafunga mkoani Morogoro alipotembelea Makazi hayo.

Moja ya bustani ya mbogamboga katika Makazi ya Wazee Fungafunga, yaliyopo Mkoani Morogoro inayohudumia Wazee hao kwa chakula na kuongeza kipato katika makazi hayo.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wanaohudumiwa kwenye Makazi ya Wazee Fungafunga mkoani Morogoro, Wawakilishi wa Baraza la Wazee mkoa wa Morogoro na Taifa, na Wataalam mbalimbali kutoka Mkoa huo mara baada ya kutembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika Makazi hayo.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

……………………………………………………….

Na WMMJW Morogroro

Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imekusudia kuwekeza katika Makazi ya Wazee nchini ili kuwa na miradi mbalimbali itakayozalisha mazao na kuchangia katika mapato ya Serikali.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wakati akizungumza na waandishi wa Habari mkoani hapa mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kukagua huduma zinazotolewa na Makazi ya Wazee katika mikoa ya Singida, Manyara, Kilimanjaro na Morogoro.

Alisema kuwa ziara hiyo imefanyika kimkakati ikiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na wataalam wengine wa Wizara imelenga kukagua huduma zinazotolewa katika Makazi 14 yenye Wazee 271 yanayosimamwiwa na Wizara ili kuweka mikakati na mbinu mbalimbali zitakazosaidia makazi hayo kuwa na huduma bora na kuwekeza nguvu katika miradi mbalimbali ya kilimo, mifugo na uzalishaji mali katika makazi hayo.

Akizungumza kuhusu uwekezaji wa miradi ya maendeleo katika Makazi hayo nchini amesema mfano Makazi ya Wazee Fungafunga yenye ekari 10 inaweza kutumika katika shughuli za kilimo cha mbogamboga, ufugaji wa kuku na miradi mingine ya kimkakati.

“Makazi haya ndio tunatoa huduma kwa wazee wasiojiweza na wasio na ndugu ila hamkatazwi kuzalisha hapa nilipo katika Mkazi haya ya Wazee Fungafunga Afisa Mfawidhi wa hapa amekuwa mbunifu na kutumia eneo kulima mbomboga zinazosaidia wazee na pia kuongeza kipato” alisema Dkt. Chaula.

Aidha ametoa rai kwa jamii kuwajibika katika malezi ya wazee kwani sehemu salama na ya kwanza ya wazee ni katika familia zao ili waweze kupata huduma bora na uangalizi mzuri kutoka kwa ndugu na familia zao.

Pia alisisitiza wananchi kujitokeza kuhesabiwa tarehe 23/08/2022 ili kusaidia kupata takwimu sahihi hasa za wazee nchini kwa ajili ya kusaidia kuweka mikakati stahiki ya kuwahudumia wazee katika utoaji wa huduma hasa za Afya na huduma nyingine muhumu kwa wazee.

Akitoa taarifa ya Makazi hayo Afisa Mfawidhi Rehema Kombe amesema wamekuwa wakizingatia taratibu zote katika kuhakikisha wanapokea wazee wenye mahitaji hasa katika Makazi hayo na kutoa elimu kwa jamii kwa kushirikiana na Manispaa ya Morogoro kutunza Wazee katika familia zao.

Akizungumza katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Wazee Taifa Mzee Lameck Sendo alisema Baraza la Ushauri la Wazee Taifa kazi yake ni kuishauri Serikali hivyo wameishauri Serikali kuboresha mazingira ya Makazi ya kulea Wazee wanayoyasimamia ili wazee wasiojiweza na wapate huduma bora na kuhimiza viongozi wa Baraza hilo katika ngazi ya kata mpaka mikoa kuwatembelea wazee katika Makazi hayo na kuwapa faraja na misaada mbalimbali.

Naye mmoja wa Mzee anayehudumiwa katika Makazi ya Wazee Fungafunga Mzee Osea Daniel Mganga ameiomba Serikali kuendelea kuboresha huduma katika Makazi hayo hasa katika miundombunu akitolewa mfano barabara ya kuingia katika makazi hayo ikiwa na changamoto hivyo ikitengenezwa itasadia kutoa huduma za dharura katika makazi hayo ikiwemo zimamoto na magari ya wagonjwa kufika kwa urahisi.

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ikiongozwana Waziri wake Dkt. Dorothy Gwajima Naibu wake Mhe. Mwanaidi  Ali Khamis, Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula, Naibu wake Amon Mpanju na wataalam wengine wa Wizara hiyo wametembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika Makazi ya Wazee na Taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara kwa lengo la kujifunza, kusikiliza changamoto mbalimbali ili kuzipatia ufumbuzi na kuboresha huduma kwa wananchi.

About the author

Alex Sonna