Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia uzalishaji wa miche pamoja na bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo wakati alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) na Banda la Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa Mikataba ya skimu ya Umwagiliaji, alipotembelea Mabanda ya Wizara ya Kilimo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua na kuangalia vifaa mbalimbali vya shughuli za ufugaji wa ng’ombe vilivyopo katika banda la Asas kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi Mfumo wa ruzuku ya Mbolea mara baada ya kutembelea Mabanda na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wadau wa Kilimo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa funguo za Trekta kwa ajili ya wakulima bora ambao wamepewa zawadi kutokana na mafanikio waliyopata katika kilimo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya