Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

kavbet

kavbet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

monobahis, monobahis giriş

alobet, alobet giriş

grandpashabet

betsat

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betpas

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

kingroyal

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis giriş

sweet bonanza

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

jojobet giriş

holiganbet

sweet bonanza

casibom giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

betpuan

bettilt

cashwin

holiganbet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

nesinecasino

Hacklink panel

zirvebet

meritking

Google

meritking giriş

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

favorisen

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pokerklas

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

casibom

grandpashabet

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

sekabet giriş

tambet

dental implants turkey

mavibet

mavibet

Featured Kitaifa

WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na kijana mnufaika wa fani ya ufundi Cherehani, Honolina Mayondi wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya wananufaika na programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayotekelezwa na Ofisi hiyo, katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Nyamidaho VTC Kasulu, mkoani Kigoma.

Mwanagenzi kutoka chuo cha Nyamidaho VTC Kasulu, Henrico Daniel (katikati) akieleza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako alipofanya ziara katika chuo hicho ikiwa ni sehemu ya kukagua maendeleo ya wananufaika na programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayotekelezwa na Ofisi hiyo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (wa tatu kutoka kushoto) akiangalia nguo iliyoshonwa na vijana wa fani ya ufundi cherehani wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya wananufaika na programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayotekelezwa na Ofisi hiyo.

…………………………………

Na: Mwandishi Wetu – Kasulu, KIGOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali kupitia Programu ya Taifa Taifa ya Kukuza Ujuzi ili kuweza kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki zitakazo wawezesha kumudu ushindani katika soko la ajira.

Mheshimiwa Ndalichako ameyasema hayo Agosti 4, 2022 wakati akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Nyamidaho VTC Kasulu, mkoani Kigoma kwa lengo la kukagua maendeleo ya wananufaika na programu ya Taifa ya kukuza ujuzi inayotekelezwa na Ofisi hiyo.

Ameeleza kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatekeleza programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi ambapo kupitia programu hiyo fursa za mafunzo ya stadi za kazi imekuwa ikitolewa kwa vijana hivyo, kuwataka vijana nchini kuchangamkia fursa hiyo ili kupatiwa ujuzi utakao wawezesha kushiriki katika shughuli za kiuchumi na hatimaye kujiajiri, kuajiriwa ama kuajiri wenzao.

“Asilimia 55 ya nguvu kazi ya taifa ni vijana hivyo, haipendezi kuona fursa zinatangazwa na wanaojitokeza ni vijana wachache, wakati wengi wamekuwa wakilia hawana shughuli za kufanya, tunategemea fursa hizo zinapotangazwa vijana watajitokeza kwa wingi,”

“Niwasihi vijana kuchangamkia fursa ambazo serikali inazitoa kwa sababu dhamira ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan kuona vijana wanashiriki kikamilifu katika ujenzi wa maendeleo ya taifa,” alisema Waziri Ndalichako

Waziri Ndalichako alifafanua kuwa, katika maeneo ya miji zinapotangazwa fursa hizo kwa vijana hujitokeza kwa wengi tofauti na maeneo ya vijijini, hivyo amehimiza watendaji wa Halmashauri na Kata kuendelea kutoa hamasa kwa vijana katika maeneo yao ili waweze kushiriki katika mafunzo yanayotolewa na Ofisi hiyo kupitia Programu ya Taifa Taifa ya Kukuza Ujuzi.

Aliongeza kuwa, katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imepanga kuendelea kupanua wigo wa wanufaika kwa kuongeza fani kulingana na mahitaji ya soko la ajira, sambamba na kujenga vituo atamizi vya kulea ujuzi wa vijana “Common facilities for Youth Skills Development” kwenye kanda tano nchini ambapo kupitia vituo hivyo, vijana watapata fursa ya kuendelea na mafunzo yao kwa vitendo, kuanzisha shughuli za uzalishaji mali na wataweza kujiingizia kipato kutokana na shughuli watakazokuwa wanafanya kwenye vituo hivyo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isack Mwakisu, aliwataka vijana hao kuthamini jitihada zinazofanywa na serikali kwa kuwapatia ujuzi na stadi za kazi zitakazowasaidia kuondokana na changamoto ya ajira.

Akizungumza awali, Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Nyamidaho VTC, Bw. Hamenya Ntabaye, alieleza kuwa mafunzo hayo ya Uanagenzi yamekuwa ni chachu ya kuwawezesha vijana kupata ujuzi wa fani mbalimbali zitakazowasaidia kujiajiri na kuajiriwa.

Wakiongea kwa nyakati tofauti vijana wanaonufaika na mafunzo hayo ya Uanagenzi katika chuo hicho wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuthamini mchango wa vijana na kufadhili mafunzo hayo ambayo yatawasaidia kujiajiri na pia waweze kuchangia katika maendeleo ya taifa lao.

About the author

Alex Sonna