Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AZINDUA MUONGOZO WA MAFUNZO YA SAYANSI,KINGEREZA NA HISABATI KWA SKULI ZA SEKONDARI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu wake Mhe.Ali Gulam Hussein pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika hafla ya  Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari  katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,mafunzo hayo yataendeshwa na Shirika  la Koika .

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimsikiliza Meneja mwandamizi wa Goodneighbors  Nd.John Massenza akitoa maelezo wakati alipotembelea maonesho ya Vitabu mbali mbali vya kufundishia  katika hafla ya  Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari  nje Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,ambapo Shirika  la Koika litaendesha mafunzo hayo.

Wananfunzi wakimsikiliza Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza wakati wa  Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari yatakayoendesha na Shirika la Koika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Viongozi mbali mbali wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari yatakayoendesha na Shirika la Koika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza wakati wa  Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari yatakayoendesha na Shirika la Koika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar (kulia) Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Mhe.Sun Fyo Kim na Mkurugenzi Mkaazi  wa KoikaTanzania Bw.Kyucheol Eo.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Vitabu vya muongozo wa mafunzo ya Sayansi,Hesabati na Kiingereza kutoka kwa Balozi wa Korea Kusini Nchini Tanzania Mhe.Sun Fyo Kim baada ya   Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo hayo uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar. 

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa  mara baada ya Uzinduzi wa muongozo wa mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari yatakayoendesha na Shirika la Koika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar . 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia Ngoma ya Msewe katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja. alipowasili katika viwanja vya Hoteli hiyo,kwa ajili ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Walimu wa Skuli za Sekondari Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Meneja Mwandamizi wa Good Neighbors Tanzania John Messenza akitowa maelezo ya Vitabu vya muongozo wa Elimu ya Sayansi, wakati akitembelea maonesho hayo ya nyenzo za kufundishia masomo ya Sayansi, Hesabati na Kingereza katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe.Sun Pyo Kim na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Tanzania na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Elimu ya Sanyasi Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim,Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw. Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Elimu ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kizindua Muongozo huo, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja  leo 3-8-2022.

BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi kwa Skuli za Sekondari Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-8-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Muongozo wa Mafunzo ya Sayansi,  Hesabati na Kingereza na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Mhe. Sun Pyo Kim (kulia kwa Rais) na Mkurugenzi Mkaazi wa KOICA Tanzania Bw.Kyucheol Eo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana  na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor