Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

UHAMASISHAJI NA UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI WANAONUFAIKA NA MIRADI YA REA WASHIKA KASI MKOANI DODOMA.

Written by Alex Sonna
Afisa Uhusiano na huduma kwa Wateja kutoka Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma Sarah Libogoma,akizungumza na wananchi wa Kata ya Mnadani wakati akihamasisha pamoja na kutoa elimu kwa wananchi watakaonufaika na miradi ya REA jijini Dodoma.
 Afisa Usalama  TANESCO Mkoa wa Dodoma Bw.Madega Dudu,akitoa tahadharisha kwa wananchi dhidi ya utapeli  na uhujumu miundombinu ya umeme Katika maeneo yao wakati wakiendelea kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi wa Kata ya Mnadani watakaonufaika na miradi ya REA jijini Dodoma.
Diwani kata ya Mnadani Paul Bakinye ,akiishukuru TANESCO  Mkoa wa Dodoma kwa kufika Katika kata yake kwa ajili ya kuhamasisha na kutoa elimu juu ya Miradi ya REA katika jiji la Dodoma.
Mwakilishi wa Mkandarasi wa mradi huo Jijini Dodoma Marlon Bulugu,akielezea hatua za mradi zilipofikia wakati wa zoezi la kuhamasisha na kutoa elimu juu ya Miradi ya REA katika jiji la Dodoma.
WANANCHI wa Kata ya Mnadani wakiendelea kupata elimu juu ya Miradi ya REA katika jiji la Dodoma ikitolewa na Afisa Uhusiano na huduma kwa Wateja kutoka Shirika la TANESCO Mkoa wa Dodoma Sarah Libogoma (hayupo pichani)
………………………………
Na Eva Godwin-DODOMA
SHIRIKA la umeme nchini TANESCO Mkoa wa Dodoma linaendelea na uhamasishaji na utoaji Elimu maeneo yanayonufaika na miradi ya REA jijini Dodoma ambapo kufikia mwisho wa awamu hii ya miradi wananchi zaidi ya 30,000 wanatarajiwa kufikiwa na huduma.
Akizungumza na wananchi wa Kata ya Mnadani,Afisa Uhusiano na huduma kwa Wateja Mkoa wa Dodoma Sarah Libogoma , amesema kuwa miradi hiyo ya REA imelenga kujaziliza na kufikia maeneo yote ambayo umeme ulipita bila kusambazwa awamu zilizopita pamoja na kufikia maeneo ya pembezoni mwa Jiji.
“Kata ya Mnadani ni kata iliyonufaika na miradi miwili ya REA ile ya ujazilizi na ya pembezoni, ambayo umeme umeshawashwa na tunategemea  kuunganisha wateja zaidi ya 350 kwenye kata hii”. Amesema Libogoma
Ameongezea kuwa, pamoja na umeme kufika majumbani ni vyema wananchi walio eneo la mradi wakachangamka na kutumia fursa ya miradi hii kuweza kukuza uchumi binafsi na ule wa maeneo yao kwa kuomba huduma ya umeme mapema.
” Shirika limeboresha taratibu za uombaji huduma kwani sasa hakuna mambo ya fomu, kwa kutumia namba yako ya Nida utaomba umeme moja kwa moja TANESCO kupitia NiKONEKT ambapo kama una simu janja utapakua Nikonekt na kufanya maombi au kama ni kitochi utabonyeza *152*00# na kisha kufuata maelekezo ya kufanya ombi lako, hatuna mawakala wanaosajili maombi mtaani tafadhali tuepuke vishoka…”
 Kwa upande wake Afisa Usalama  TANESCO Mkoa wa Dodoma Bw.Madega Dudu,amewatahadharisha wananchi dhidi ya utapeli  na uhujumu miundombinu ya umeme Katika maeneo yao kwa kuhakikisha wanakuwa mstari wa mbele katika utoaji wa taarifa za wazi na siri kwa TANESCO ili hatua zichukuliwe mapema.
“Mpaka umeme huu wa unafikishwa hapa umesafiri kutoka mbali sana na umepita katika njia salama ndio maana unawaka, hivyo ni jukumu mojawapo la sisi Wanambwanga na Wanandachi kiujumla kulinda miundo mbinu iliyopo hapa na kuhakikisha usalama muda wote kwani Shirika linaendelea na kubaini wahujumu na kuwachukulia hatua kama ambavyo sheria ya uhujumu inavyotaka”, amesema Dudu
“Kumekuwa na wizi wa nyaya za umeme aina ya shaba ambazo zinafungwa kwenye mashine umba (Transformer) ambazo zimewekwa kwaajili ya ulinzi wa miundo mbinu ili kuepusha madhara lakini kumekuwa na watu ambao wamekosea uzalendo wanakata na kuiba zile nyaya na kuturudisha nyuma, kwaio ulinzi shirikishi ni muhimu kulinda hii miundo mbinu”. amesema Dudu
Naye Mwakilishi wa Mkandarasi wa mradi huo Jijini Dodoma Marlon Bulugu, amesema mradi kwa sasa upo ukingoni kazi inayoendelea ni kukamilisha uvutaji nyaya sehemu iliyobakia.
“Wiki lijalo tunakamilisha kazi ya uvutaji nyaya  kwa nguzo zilizobakia, tunachohitaji ni muitikio wenu hivyo ni vyema wananchi mkaendelea na maombi ili nasi tuweze kukamilisha ufungaji mita mapema katika nyumba zenu”.amesema  Bulugu.
Naye Diwani kata ya Mnadani Paul  Bakinye ameishukuru TANESCO kwa kufika Katika kata yake na kuelewesha wananchi wa mitaa yake juu ya miradi ya umeme na matarajio ya serikali kwenye kata yake kupitia miradi hii.
Uelimishaji huu unaendelea mtaa kwa mtaa mjini Dodoma katika kata zote zinazonufaika na miradi hii.
TANESCO Dodoma inasimamia utekelezaji wa miradi miwili ya REA inayoendelea ndani ya Jiji la Dodoma, miradi hii ni ya ujazilizi unaotekelezwa na mkandarasi Derm Electrics na ile ya pembezoni (peri-urban) unaotekelezwa na mkandarasi Cylex Engineering.
Mpaka sasa miradi hii imefikia 91% na 79% za utekelezaji wake ambapo tayari wateja zaidi ya 18,000 Mkoa mzima wamekwisha unganishiwa huduma.

About the author

Alex Sonna