marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

lordcasino

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jasminbet

jasminbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

betper

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI UMMY AITAKA TOS KUHAMASISHA MADAKTARI KUSOMEA PROGRAMU ZA SARATANI KUPUNGUZA UPUNGUFU ULIOPO.

Written by Alex Sonna
MKURUGENZI wa taasisi ya Saratani Ocean road  Dkt Julius Mwaisilage  wakati akisoma hotuba ya waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika ufunguzi kongamano la kwanza la kimataifa la Saratani linaloendelea mkoani Arusha.
 Rais wachama cha madaktari bingwa wa maradhi ya Saratani(TOS) Dkt Jerry Ndumbaro  akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufunguliwa kwa kongamano la kwanza la kimataifa la Saratani linaloendelea mkoani Arusha.
BAADHI ya wataalamu na wadau wa  ugonjwa wa Saratani wakiwemo madaktari wakifuatilia kongamano la kwanza la kimataifa la Saratani lililofanyika mkoani Arusha.
…………………………………..
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amekitaka chama cha madaktari bingwa wa maradhi ya Saratani(TOS) kuhamasisha madaktari waliomaliza masomo na wanaofanya kazi kujiunga katika kusomea programu ya Saratani(oncology) ili kuweza kuondokana upungufu wa madaktari bingwa wa Saratani ambao mpaka sasa wapo 38 nchi nzima.
Rai hiyo imetolewa na mkurugenzi wa taasisi ya Saratani Ocean road  Dkt Julius Mwaisilage  wakati akisoma hotuba ya waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika ufunguzi kongamano la kwanza la kimataifa la Saratani lilijumisha wataalamu na wadau ambapo alisema kuwa kutokana na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa wa Saratani daktari mmoja kwa mwaka anahudumia wagonjwa 1200. 
Dkt Mwaisilage alisema kama chama wana malengo yao lakini kikubwa wahamasishe wataalamu waweze kusomea kwani serikali inatoa ufadhili kila mwaka kwa kupeleka fedha chuo kikuu cha Afya na sayansi shirikishi Muhimbili(MUHAS) hivyo wawahamasishe ili kupunguza upungufu huo.
Aidha alisema kuwa kulingana na takwimu wanazoziona katika hosipitali kwa mwaka wanawaona wagonjwa 14600 sawa na asilimia 33 ambapo idadi hiyo ni ndogo kwani Tanzania ina zaidi ya wagonjwa elfu 42 wa Saratani.
Sambamba na hayo alisema kuwa serikali imejipanga katika kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya kutibu ugonjwa wa saratani ikiwemo tiba ya upasuaji na uchunguzi wa ugonjwa huo katika hospitali zote za kanda na taifa nchini.
“Lengo ni kuhakikisha wagonjwa wote wanachunguzwa na wanapatiwa tiba ya upasuaji lakini kwa upande wa mionzi  serikali inaendelea na kuboresha katika sehemu nyingine kwani kwa sasa zinapatika katika hospitali ya Bugando na Taasisi ya saratani ya Ocean road,”Alisema.
Alisema tiba ya mionzi inaendelea kuboreshwa nchini ikiwa sasa wanaendelea katika hospitali ya KCMC pamoja na Benjamin Mkapa ikifuatiwa na Mbeya lengo ni kuhakikisha huduma za utambuzi wa saratani zinawafikia wananchi katika kanda zote.
Kwa upande wake Rais wa TOS Dkt Jerry Ndumbaro alisema lengo la kongamano hilo la kimataifa ni kubadilishana uzoefu wa kisayansi katika kuboresha huduma kwani  ugonjwa wa saratani umekuwa ukiongezeka kwa wingi na kufanya idadi ya wagonjwa kuwa kubwa ambapo katika takwimu za mwaka jana wagonjwa zaidi ya elfu 42 wanapatikana kwa mwaka ambapo lengo la kongamano hilo ni kubadilishana utaalam kwa wataalam wa ndani na nje ya Tanzania ili kuboresha huduma katika eneo la saratani.
“Mpango wetu ni kuwafikia watumishi wa afya nchi nzima  walioko katika ngazi ya mkoa na wilaya  katika kuwawezesha wataalamu kugundua  ugonjwa huo mapema ili wagonjwa waweze kutibiwa,”alisema Dk.Ndumbaro.
Alisema kupitia chama hicho wanampango mkakati wa kufanya  huduma za upimaji na ugunduzi wa mapema  wa saratani katika jamii ambapo watapita kila mkoa kuhakikisha huduma hiyo inawafikiwa wananchi wa ngazi zote.
Alieleza kuwa chama kinahakikisha wanawawezesha wataalam na watoa huduma za afya ngazi za mikoa na wilaya kupata utaalam wa kuweza kugundua magonjwa hayo mapema na kutoa matibabu kwa wagonjwa ambapo mpango walionao ni kufanya huduma za upimaji na ugunduzi wa mapema wa saratani katika jamii.
Aliongeza kwa kueleza kuwa tafiti zinaonyesha kuwa mitindo ya maisha ikiwemo kutokufanya mazoezi,uzito uliopitiliza,ulaji mbaya wa vyakula,ni miongoni mwa dalili hatarishi za uwepo wa magonjwa wa saratani ambapo ameitaka jamii kuhakikisha inabadili mitindo ya maisha yao ili kuweza kujikinga na saratani.

About the author

Alex Sonna