Featured Kitaifa

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA MATEMBEZI NA MAZOEZI YA VIUNGO KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WETE PEMBA

Written by mzalendoeditor

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilimota 5 yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizia katika viwanja vya Mnazi mmoja Wete na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi.Mhe.Hamza Hassan Juma.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi, akiongoza matembezi ya mzoezi ya viungo yalioazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi.Mhe.Hamza Hassan Juma.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5 yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete, na kujumuika katika mazoezi ya pamoja ya viungo na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya.

MKE wa Rais Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya kilomita 5, yaliyoshirikisha Vikundi mbalimbali vya mazoezi ya viungo vya Mkoa wa Kaskazini Pemba, yalioazia katika viwanja vya Kinyasini na kumlizikia katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Wete Pemba leo 28-7-2022.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza Wanamichezo katika mazoezi ya viungo yaliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja  Wete Pemba, baada ya kumalizia matembezi ya mazoezi ya viungo yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete na kujumuika katika mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete, baada ya kumaliza matembezi hayo na mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja  Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba

WANAMICHEZO wa mazoezi ya viungo Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kumaliza mazoezi ya pamoja ya viungo yaliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja Wete Pemba leo 28-7-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor