Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

maxwin

meritking

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

maxwin giriş

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

jojobet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APONGEZWA KWA MAAMUZI YA KULETA MAGEUZI VYOMBO VYA DOLA

Written by Alex Sonna

 
Samia aagiza mageuzi kwenye majeshi ya ulinzi na usalama
 
Mchujo mkubwa waja, wenye vyeti feki wasio na sifa kumulikwa
 
* Mifumo ya nidhamu, ajira, maadili kufumuliwa
 
* Mahusiano ya majeshi ya ulinzi na usalama na raia kuchunguzwa
 
* Jeshi la Polisi laanza kusukwa upya 
 
* Mageuzi makubwa ya haki jinai kufanyika nchini
 
* Wengi wafurahia maamuzi ya Rais Samia kufungua vyombo vya dola
 
Mwandishi Wetu
 
AMRI Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, amepongezwa ndani na nje ya nchi kwa uamuzi wake wa kuagiza mageuzi makubwa kwenye majeshi ya ulinzi na usalama nchini, ikiwa ni sehemu ya jitihada zake za kuimarisha haki jinai nchini.

 
Katika mageuzi hayo makubwa yatakayoanza kwenye Jeshi la Polisi Tanzania, muundo wa majeshi hayo itapitiwa upya, ikiwemo mfumo wa ajira, mafunzo, maadili na upandishaji vyeo.
 
Mahusiano ya vyombo vya dola na wananchi yataangaliwa upya, ikiwemo utoaji wa haki kwa wananchi.
 
Rais Samia, ambaye wiki ijayo amefanya mabadiliko ya uongozi wa juu wa Jeshi la Polisi la Tanzania, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa zaidi kwenye jeshi hilo baada ya kupokea mapendekezo ya kamati aliyounda kupitia upya mundo wa vyombo vya dola nchini.
 
“Tutaanza na Polisi, wakimaliza wakileta ripoti tutafanya marekebisho halafu tunakwenda majeshi mengine,” alisema Rais Samia wakati wa uapisho wa Inspekta Jenerali wa Polisi mpya, Camillus Wambura.
 
“Serikali sasa tunakuja na jicho jingine ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania.”
 
Rais ameunda kamati ya watu 12 na Sekreterieti ya watu 5 kufanya kazi hiyo ya kupitia mifumo na utendaji wa vyombo vya dola, itakayoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohammed Chande (Mwenyekiti) na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue (Makamu Mwenyekiti).
 
“Nimeunda kamati kushauri njia bora ya kuleta mabadiliko ya Utendaji kazi wenye matokeo bora kwenye vyombo vya haki ya jinai,” alisisitiza.
 
Pamoja na mambo mengine, Rais Samia ameagiza ufanyike mchujo kwenye vyombo vya dola ili kubaini wenye vyeti feki na waliopewa nafasi kwenye majeshi pasipokuwa na uwezo stahiki.
 
“Vitendo vinafypfanyoka barabarani na polisi hudhani kuwa kweli wamehitimu masomo,” alisema Rais Samia.
 
Taasisi nyingine za haki ya jinai ambazo zitamulikwa kwenye mageuzi ya Rais Samia baada ya jeshi la polisi ni pamoja na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA).
 
Nyingine ni Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), Jeshi la Magereza na majeshi mengine ya ulinzi na usalama.
 
 
Pongezi zamiminika ndani, nje ya nchi
 
Uamuzi ya Amri Jeshi Mkuu Rais Samia ya kuvifumua vyombo vya ulinzi na usalama nchini umepongezwa na wadau mbalimbali nje na ndani ya nchi 
 
Balozi wa zamani wa Norway nchini Tanzania, Bi Hanne-Maria Kaarstad, amesema uamuzi wa Rais Samia kufanya mageuzi kwenye vyombo vya dola nchini ni jambo la muhimu sana.
 
Pia amepongeza uteuzi wa Jaji Chande na Balozi Sefue kuongoza kamati hiyo ya kupendekeza mageuzi hayo, akisema kuwa watumishi hao wa umma waandamizi wastaafu wana weledi mkubwa.
 
Semkae Kilonzo, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Policy Forum, amesema uamuzi huo ni hatua nzuri.
 
“Hawa watu wawili (Jaji Chande na Balozi Sefue) ni wabobezi kwenye maeneo yao. Uadilifu wao unawazidi wengi waliopitia nafasi hizo,” Kilonzo alisema.
 
“Kama wateule werevu wa Rais waliopo sasa wamesoma alama za nyakati, Rais ana malengo ya kuleta mageuzi mapana.”
 
Naye Amne Suedi, mwanasheria binafsi, amesema kuwa ana matarajio kuwa timu iliyoundwa na Rais Samia Italeta mageuzi ya haki jinai nchini.
 
Mwanasheria mwingine, Deogratias Melkior Njau, amesema kuwa tangu Rais Samia aingie kwenye madaraka amechukua hatua kadhaa zinazoonesha nia ya dhati ya kujenga upya misingi ya utawala bora Tanzania.
 
Getrude Mollel, mtaalamu wa masuala ya mawasiliano, amesema kuwa Rais Samia anaipeleka nchi njia sahihi kwa kutoa kipaumbele kwa masuala ya haki jinai.
 
“Jeshi la Polisi limekumbwa na tuhuma nyingi za rushwa na matumizi ya madaraka kinyume na sheria, mambo ambayo yamechafua taswira ya jeshi hilo,” alisema.

About the author

Alex Sonna