Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AKIWASILI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Julai 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Athony Mtaka akitokea Mpanda mkoani Katavi baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi.

About the author

mzalendoeditor