Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KATI UNGUJA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati akitembelea Jengo la kuhifadhia Maiti, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera . inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais)  Wizara ya Afya Zanzibar.Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera. Akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja l

WANANCHI wa Pongwe Mwera wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani ) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera, leo wakati akiendelera na ziara yake kwatika Mkoa wa Kusini Unguja

WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui  akizungumza katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Kisasa ya Wilaya ya Kati Unguja, inayojengwa kwa Fedha za Uviko 19, kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.(hayupo picha)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwahutubia Wananchi wa Pongwe Mwera, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja, akiendelea na ziara yake katika  Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022. Kutembelea  Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo.

MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya ya Kati Pongwe Mwera iliyowekwa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , inayojengwa kwa Fedha za Mkopo nafuu wa Uviko-19 , akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali baada ya kuwwasili katika viwanja vya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Pongwe Mwera, inayojengwa kupitia Mradi wa Fedha za Uviko-19.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera leo 23-7-2022, inayojengwa kwa fedha za Uviko -19, akiwa katika ziara yake  Wilaya ya Kati Unguja, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kusini Unguja.(

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Pongwe Mwera, leo 23-7-2022, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja, na (kushoto )Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Wizara ya Afya Zanzibar Said Ali Bakari, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera, inayojengwa kwa Fedha ya Uviko -19, leo 23-7-2022, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.,Nassor Ahmed Mazrui na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashisd Hadid Rashid.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati akitembelea Jengo la kuhifadhia Maiti, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera . inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais)  Wizara ya Afya Zanzibar.Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera. Akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor