Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

mislibet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

tarafbet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

galabet

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

güvenilir casino siteleri

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

imajbet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

caddebet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli

ligobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

galabet giriş

galabet

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

caddebet, caddebet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

monobahis

cratosroyalbet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

google

piabet

piabet

marsbahis

atlasbet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

pusulabet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

radissonbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

matbet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

galabet

galabet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mislibet giriş

hitbet

galabet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

monobahis, monobahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

jestbahis, jestbahis giriş

Featured

UGANDA YA YAJIFUNZA USAFIRISHAJI MAFUTA GHAFI TAZAMA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kushoto) akiwaonyesha kitu kwa ujumbe wa Uganda uliofika nchini kwa ziara ya kujifunza kuhusu sekta ya mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi katika bomba la TAZAMA. Julai 20, 2022. Katikati ni Waziri wa Nchi anayeshughulikia maendeleo ya Madini, Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini Uganda, Mhandisi Peter Lokeris, Kamishna Msaidizi wa Mafuta na Gesi Wizara ya Nishati, Michael Mjinja (tatu kulia).

Gabriel Mkunde wa TAZAMA, (katikati) akitoa maelezo kwa Ujumbe wa Uganda namna ambavyo mafuta ghafi yanafirishwa katika chumba cha kuendeshea mitambo, wakati wa ziara ya ujumbe huo ya kujifunza kuhusu sekta ya mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi katika bomba la TAZAMA, Julai 20, 2022.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge Nishati na Madini, Dunstan Kitandula( pili kulia) akizungumza na ujumbe wa Uganda uliofika nchini kujifunza kuhusu sekta ya mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi katika bomba la TAZAMA, Julai 20, 2022, kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mazingira na Maliasili wa Uganda, Otiam Otaala na Waziri wa Nchi anayeshughulikia maendeleo ya Nishati na Madini wa Uganda,Mhandisi Peter Lokeris( pili kulia).

Gabriel Mkunde wa TAZAMA, (katikati) akiwaeleza na kuwaonyesha sehemu ya kupimia mafuta ghafi yanayoingia na kusafirishwa kwa Ujumbe wa Uganda wakati wa ziara ya ujumbe huo ya kujifunza kuhusu sekta ya mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi katika bomba la TAZAMA, Julai 20, 2022.

Patrick Mzava wa TAZAMA, (kushoto) akiwaeleza na kuwaonyesha eneo ambalo mafuta ghafi huingia na kutoka katika matanki makubwa ya kihifadhia mafuta, Ujumbe wa Uganda wakati wa ziara ya ujumbe huo ya kujifunza kuhusu sekta ya mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi katika bomba la TAZAMA, Julai 20, 2022.

………………….

NA Zuena Msuya, DSM

Serikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uganda waliokuja nchini, kuona na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi kupitia Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Tanzania hadi Zambia (TAZAMA).

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema hayo wakati wa ziara ya ujumbe huo uliohusisha Wabunge wa Kamati ya Mazingira na Maliasili, ukiongozwa na Waziri wa nchini, anayeshughulikia Maendeleo ya Madini, Wizara ya Nishati na Madini nchini Uganda, pamoja na wataalam mbalimbali nchini humo iliyofanyika Julai 20, 2022 mkoani Dar es Salaam.

Mhandisi Mramba amesema kuwa, ujumbe huo umekuja nchini kwa ziara maalum yenye lengo la kujifunza mambo mbalimbali katika sekta ya nishati, hasa eneo la mafuta kwa kuwa nchi hiyo itaanza kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani Tanga hapa nchini, kupitia Mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi (EACOP). Mradi huo unahusisha nchi mbili ambazo ni Uganda na Tanzania.

Alisema kuwa Tanzania inauzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika mradi wa kusafirisha mafuta ghafi kupitia bomba la TAZAMA, ambalo limekuwa likisafirisha mafuta hayo kutoka Tanzania hadi Zambia kwa kipindi kirefu, hivyo ni eneo sahihi kwa ujumbe huo kuona na kujifunza.

Pia Tanzania imetekeleza mradi wa bomba la kusafirisha Gesi Asilia kutoka Mkoani Mtwara hadi Kinyerezi, mkoani Dar es Salaam inayotumika kuzalisha umeme unaongizwa katika Gridi ya Taifa.

Aidha Tanzania ipo katika mazungumzo ya awali ya kujenga bomba kubwa la kuzafirisha gesi asilia kutoka Mtwara hadi nchini Uganda, hivyo ni wakati sahihi kwa wajumbe hao kujifunza na kuona ili wakati wa kutekeleza miradi hiyo ukifika iwe rahisi kwa wao kuulekeleza uzoefu walioupata na kutoa maoni yao.

“Ujio wa ujumbe huu wakiwepo wabunge wa Kamati ni muhimu sana,kwa kuwa wao ndiyo wanaosimamia mambo mbalimbali na kuishauri serikali ya Uganda, ni vyema wakafahamu zaidi yale mambo yanayoamuliwa na serikali ili yaweze kupita kwenye ngazi ya wabunge, ni wakati sahihi kwao kuja kuona na kujifunza kile kinachoendelea kufanyika kutika bomba la TAZAMA ” alisema Mhandisi Mramba.

Ziara hiyo pia imeshirikisha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa Tanzania,Dunstan Kitandula Kamishna Msaidizi Mafuta na Gesi wa Wizara ya Nishati, Michael Mjinja na viongozi wengine waandamizi kutoka wizarani na taasisi zilizochini yake.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi anayeshughulikia maendeleo ya Nishati na Madini wa Uganda, Mhandisi Peter Lokeris aliishukuru Serikali ya T anzania kwa kukubali mradi wa bomba kupitishwa katika ardhi yake, alisema hiyo imeonyesha dhahiri kuwa nchi hizo zina mahusiliano mazuri licha ya kuwa ni majirani.

Mhandisi Lokeris alisema kuwa serikali yatanzania kuruhusu bomba hili kusafirisha mafuta yao itawasaidia kuinua uchumi wa nchi yao kwakuwa watatumia gharama ndogo kusafirisha mafuta hayo ukilinganisha na usafirishaji kwa kutumia njia zingine kama magari, pia nchi hizo mbili zitanufaika n mradi ktokana na faida itakayopatikana kupitina.

Sambamba na hiyo usafirishaji wa mafuta hayo utatumia muda mfupi na salama zaidi kwa bidhaa hiyo, utunzaji wa miundombinu ya barabara pamoja na kulinda uharibifu wa mazingira.

“Tumekuja kujifunza Tanzania kwa sababu wenzetu hawa ni wazoefu wa miaka mingi katika miradi hiyo mikubwa, ukiachana na hili la mafuta la TAZAMA ambalo lina zaidi ya miaka hamsini, wanalile la gesi na katika miaka yote hii hakuna siku tumesikia changamoto yoyote hivyo umekuja kwa lengo maalum la kupata uzoefu” alisema Mhandisi Lokeris

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya bunge Nishati na Madini, Dunstan Kitandula kwa upande wa Tanzania na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mazingira na Maliasili wa Ufanda, Otiam Otaala kwa pamoja wamesema kuwa ziara za namna hiyo kwa wabunge ni muhimu sana kwakuwa wabunge watafahamu zaidi nini kinaenda kufanyika kwakuwa wao ndiyo wenye wanadhamana kubwa ya kuhakikisha kuwa miradi yenye tija kwa taifa na wananchi inatekelezeka kwa wakati.

Pia kama washauri wa serikali na wawakilishi wa wananchi, ni wajibu wao kufahamu kwa undani masuala mbalimbali yanayofanyika na yatakayofanyika ili kwa nafasi zao waweze kuishauri serikali namna bora ya kutekeleza na kufikisha ujumbe sahihi kwa wananchi wanaowawakisha.

Ziara hiyo ya kujifunza imefanyika wakati sahihi kwakuwa Uganda sasa imeanza kutekeleza mradi wa bomba la kusafirisha mafuta, na bado inaendelea na tafiti mbalimbali ili kuibua miradi mingine mikubwa.

About the author

Alex Sonna