Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA KIKAO CHA ZARURA CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania wakati alipowasili Madinat Al Bahr Hotel kufungua kikao cha siku mbili cha zarura cha Barala hilo.

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa nchini wakiwa katika ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Barala hilo,kilichofunguliwa leo na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (hayupo pichani)  katika ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Leila Burhan Ngozi akijitambulisha katika ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (hayupo pichani)  katika ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

 Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi alipokuwa akitoa salamu zake wakati wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (wa tatu kulia)  katika ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ni miongoni mwa wajumbe wa  kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (hayupo pichani)  katika ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa   kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika  ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi  baada kufungua  rasmi wa   kikao cha zarura cha siku mbili cha  Baraza  la Vyama vya Siasa  kilichoanza leo katika  ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar,(kushoto)Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe.Christina  Mndeme na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Juma Ali Khatib .

Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha wakulima  (AAFP) Mhe.Sais Sudi Said alipokuwa   akijitambulisha katika  kikao cha   zarura  siku mbili cha   Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (hayupo pichani)  katika ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi akiteta na  Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi  mara baada ya kufungua  kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa  leo  katika ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa   kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika  ukumbi wa  Madinat Al Bahr Hotel  nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Juma Ali Khatib (kulia) na  Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe.Christina  Mndeme.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor