Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania wakati alipowasili Madinat Al Bahr Hotel kufungua kikao cha siku mbili cha zarura cha Barala hilo.
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa nchini wakiwa katika ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Barala hilo,kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Leila Burhan Ngozi akijitambulisha katika ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.
Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi alipokuwa akitoa salamu zake wakati wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ni miongoni mwa wajumbe wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi baada kufungua rasmi wa kikao cha zarura cha siku mbili cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar,(kushoto)Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe.Christina Mndeme na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Juma Ali Khatib .
Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha wakulima (AAFP) Mhe.Sais Sudi Said alipokuwa akijitambulisha ka
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteta na Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Jaji Francis Mutungi mara baada ya kufungua kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa kikao cha siku mbili cha zarura cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichoanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel nje ya Jiji la Zanzibar (kulia) Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Juma Ali Khatib (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe.Christina Mndeme.[Picha na Ikulu