Featured Kitaifa

WAZIRI NDALICHAKO  ATETA NA VIONGOZI WA VYAMA VILIVYO CHINI YA TUCTA

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akieleza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Adam Katundu akifafanua Jamabo wakati wa cha Ofisi hiyo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma

Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wakifuatilia kikao chao na Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, jijini Dodoma 

Katibu Mkuu TUCTA, Henry Mkunda,  akieleza jambo wakati wa kikao cha Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma 

……………………………..

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,  Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika   Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), ambapo wameongozwa na rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya.

Kikao hicho ni mwendelezo wa Serikali katika kuendelea kushirikiana na TUCTA katika kustawisha maslahi ya wafanyakazi husasni wa sekta Binafsi nchini.

About the author

mzalendoeditor