Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

pusulabet

Featured Kitaifa

MRADI WA RUSUMO KUONGEZA UHAKIKA WA UMEME KANDA YA ZIWA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akikagua kazi zinazoendelea kutekelezwa katika mradi wa umeme wa Rusumo.

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akikagua kazi zinazoendelea kutekelezwa katika mradi wa umeme wa Rusumo.

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Bunazi wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera ambapo pamoja na kueleza juhudi za Serikali katika kusambaza umeme vijijini alitoa elimu kuhusu Nishati safi ya kupikia

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba akimkabidhi mtungi wa gesi Bi.Nuriath Azizi kutoka Kijiji cha Bunazi wilayani Misenyi ikiwa ni uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia.

…………………………………

Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa umeme pungufu na usio wa uhakika na pia kuufanya Mkoa wa Kagera kuanza kutumia umeme wa gridi.

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba alisema hayo wilayani Ngara mkoani Kagera wakati alipokagua kazi ya ujenzi mradi huo wa ubia baina ya nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi ambapo umeme utakaozalishwa utagawanywa kwa usawa baina ya nchi hizo.

“Mradi huu umekuwa na changamoto  nyingi lakini katika kipindi cha miezi Sita iliyopita tumefanya kazi kubwa ya kusukuma na kushirikiana na wenzetu ili kuhakikisha kwamba unakamilika haraka, tunautegemea sana mradi huu katika kuongeza uwezo, nguvu na uhakika wa umeme katika Kanda ya Ziwa, sasa tunafurahi kwa hatua iliyofikia sasa na tutaendelea kuusimamia ili kuongeza mchango katika gridi ya Taifa.” Alisema Makamba

Alieleza kuwa mradi huo unaohusisha ujenzi wa mtambo wa uzalishaji umeme, bwawa, eneo la kupokea umeme kabla haujasambazwa na ujenzi wa njia za kusafirisha umeme kutoka eneo la mradi hadi  Nyakanazi, umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika mwezi Novemba mwaka huu.

Kuhusu ujenzi wa njia ya kusafirisha kutoka eneo la mradi hadi Nyakanazi alimtaka mkandarasi wa mradi huo kuongeza kasi ya ujenzi ili umalizaji wa miundombinu hiyo ya kuchukua umeme kwenye mradi wa Rusumo uendane sambamba na umalizaji wa mitambo ya kuzalisha umeme.

Waziri wa Nishati pia alikagua eneo kutakapojengwa kituo cha kupoza umeme cha BENACO na ameitaka TANESCO kuhakikisha kuwa inaharakisha ujenzi wa kituo hicho ambacho kitatoa umeme kutoka mradi wa Rusumo na kuusafirisha kwa msongo wa kV 220 kwenda Kyaka mkoani Kagera  ili mkoa huo upate umeme kutoka gridi ya Taifa badala ya Uganda.

Kuhusu malalamiko ya fidia kwa kaya 1200 zilizoathirika kutokana na kufunga njia kubwa ya maji ili kuetekeleza mradi wa umeme wa  Rusumo, alieleza kuwa kaya zilizothibitishwa hadi sasa na Serikali ni 1,041 na watalipwa fidia hiyo mwezi wa Tisa mwaka huu na pia nyumba 304 zilizoathirika na shughuli hizo za ujenzi zitakarabatiwa.

Pamoja na kukagua miradi ya umeme katika Wilaya ya Ngara, Karagwe na Misenyi mkoani Kagera, Waziri wa Nishati alihamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kugawa mitungi ya gesi 200 kwa vikundi vya Mama Lishe ambao wanatumia kuni na mkaa kupikia.

About the author

Alex Sonna