Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA OFISI YA MKUU WA WILAYA NA KUKAGUA DARAJA LA MAWE KIJIJI CHA LUKOMO, MKALAMA MKOANI SINGIDA

Written by mzalendoeditor
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa wakati alipozindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Mwonekano wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisomewa taarifa ya jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida na Meneja wa TBA Mkoa wa Singida Injinia Khadija Abdallah. Jengo hilo limekamilika kwa asilimia 100, Julai 17, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa TBA Mkoa wa Singida Injinia Khadija Abdallah, baada ya kuzindua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambalo limekamilika kwa asilimia 100. Julai 17, 2022. Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mkalama, Sophia KIzigo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30, lililopo katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida . Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Meneja wa TARURA Mkoa wa Singida Mhandisi Tembo David, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30, lililopo katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida . Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwonekano wa ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30, lililopo katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida . Julai 17, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor