Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

MSD YAPONGEZWA KWA KUKABIDHI VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKOANI TANGA

Written by Alex Sonna

Vifaa tiba kwaajili ya upasuaji vilivyopo katika kituo cha afya Makorora mkoani Tanga vikiwa tayari kwaajili ya kutoa huduma ya upasuaji. Vifaa hivyo vimekabidhiwa hivi karibuni na Bohari ya Dawa (MSD). Vifaa tiba kwaajili ya upasuaji vilivyopo katika kituo cha afya Makorora mkoani Tanga vikiwa tayari kwaajili ya kutoa huduma ya upasuaji. Vifaa hivyo vimekabidhiwa hivi karibuni na Bohari ya Dawa (MSD). Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Makorora mkoani Tanga, Dkt.Angelina Meshack akizungumza na baadhi ya watumishi wa MSD (hawapo picha) mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Makorora kilichopo mkoani Tanga Mfamasia Kituo cha Afya Makorora Tanga Bi.Gloria Urio akionesha baadhi ya vifaa tiba kwaajili ya upasuaji walivyokabidhiwa na Bohari ya Dawa hivi karibuni baada ya kuwa na changamoto ya vifaa tiba hivyo na kutokutoa huduma ya upasuaji kwenye kituo hicho cha Afya Mkoani Tanga.Mfamasia Kituo cha Afya Ngamiani mkoani Tanga, Bw.Michael Mrosso akiangalia vifaa tiba ambavyo wamekabidhiwa na MSD hivi karibuni Jenerata ambalo litatumika kuzalisha umeme pindi umeme wa kawaida unapotokea kukatia katika Kituo cha Afya Ngamiani mkoani Tanga. Jenereta hilo limekabidhiwa na Bohari ya Dawa (MSD) hivi karibuni.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

***********************

NA EMMANUEL MBATILO, TANGA

SERIKALI kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuwezesha kukabidhi vifaa tiba katika vituo vya afya mkoani Tanga, vifaa ambavyo vilikuwa changamoto katika utoaji huduma vituoni humo.

Akizungumza leo Julai 17,2022 katika mahojiano maalumu Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Makorora mkoani Tanga, Dkt.Angelina Meshack amesema walipokea vifaa vya chumba cha upasuaji ikiwemo kitanda cha upasuaji, mashine ya dawa ya usingizi na taa zinazotumika wakati wa upasuaji amesema vifaa hivyo ni msaada mkubwa katika kituo hicho kwani awali kulikuwa na changamoto kwenye hutoaji huduma.

“Awali tulikuwa hatufanyi upasuaji kabisa kwa hiyo tulivyopokea fedha kwa ajili ya ukarabati majengo ya kufanyia upasuaji tulifanya hivyo na baadae vifaa vililetwa na MSD na kuanza kutoa huduma za upasuaji”. Amesema Dkt.Angelina

Amesema baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo walianza kutoa huduma ya upasuaji mbalimbali wa mama wajawazito pamoja na upasuaji mdogo kwani hapo awali walikuwa wanawapeleka wagonjwa hospitali ya Bombo kwa sababu huduma hiyo haikuwepo hapo kituoni.

“Kwa ujio wa vifaa hivi imerahisisha mama mjamzito akipata changamoto moja kwa moja tunaweza kumpa huduma ya upasuaji na tunaokoa maisha ya mama pamoja na kichanga”. Amesema.

Pamoja na hayo Dkt.Angelina amesema walikabidhiwa pia na jenereta kwa ajili ya hospitali hiyo lakini wakaamua kuwasiliana na ofisi ya mganga mkuu ili waweze kuichukua na kuikabidhi kwenye vituo vingine ambavyo havina jenerata kwa sababu kituo hicho kilikuwa na jenerata ambayo walikuwa wameshanunua awali.

Ameeleza kuwa hali ya upatikanaji wa dawa katika kituo hicho ni nzuri kwani kwa sasa dawa muhimu zinapatikana kwa asilimia 90 na wanaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi .

Naye Mfamasia wa Kituo cha Afya Ngamiani mkoani humo, Bw. Michael Mrosso amesema walipokea vifaa tiba kwa aajili upasuaji pamoja na jenerata, vifaa ambavyo vilikuwa ni kilio chao kwa muda mrefu.

Amesema wataendelea kujitahidi kutoa huduma bora kwa kuwa kuna vifaa bora ambavyo wamekabidhiwa na serikali kwa ajili ya kuwahudumia wananchi

About the author

Alex Sonna