Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AHUTUBIA KWENYE  KUMBUKIZI YA PILI YA RAIS WA AWAMU YA TATU HAYATI MKAPA,ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa yaliyofanyika Katika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chissano mara baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chissano pamoja na Wenza wa viongozi mara baada ya maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa tuzo madaktari mara baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa yaliyofanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar

Viongozi mbalimbali pamoja na Wageni Waalikwa wakiwa kwenye maadhimisho ya pili ya Kumbukizi ya Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa yaliyofanyika katika hotel ya Golden Tulip, Zanzibar.

About the author

mzalendoeditor