Featured Kitaifa

MSIGWA AKISHIRIKI KUAGA MWILI WA MWANAHABARI MKONGWE JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

 

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Julai 13, 2022 ameshiriki kuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari mkongwe nchini, Dk. Gideon Juma Safari Shoo, aliyefariki dunia Julai 9, 2022.
Shughuli hiyo ya kuaga imefanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor