Featured Kitaifa

KAZI INASONGA-UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA ELIMU 2022

Written by mzalendoeditor

KAZI inasonga – Utekelezaji Miradi ya Maendeleo katika sekta vya Elimu 2022. Hapa ni Chuo cha Ualimu Patandi Bweni jipya la walimu tarajali wa kike limelalika.

Litachukua wanafunzi 80 nalitawezesha kuongeza udahili wa wanachuo wakike kutoka 160 hadi 240.

Kwa mazingira haya tunaongeza ari na morali ya ujifunzaji kwa walimu tarajali wa elimu maalum na jumuishi. #Kaziinasonga

About the author

mzalendoeditor