Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

vdcasino

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

palacebet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

imajbet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

marsbahis

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

BENKI YA EXIM YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI 100 TABORA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani (wa pili kushoto) akipokea msaada wa madawati 100 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu (wa tatu kulia) ikiwa ni msaada kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa hii leo. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Dkt. Yahaya Nawanda (Kushoto), Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg Solomon Kasaba (wa pili kulia) na Afisa Elimu Mkoa wa Tabora Ndg Juma Kaponda (Kulia)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akipokea msaada wa madawati 100 kutoka kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa hii leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani (kushoto) akizungumza na maofisa wa benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu (wa pili kulia) wakati maofisa hao walipotembelea ofisi ya mkuu wa mkoa huyo ili kukabidhi msaada wa madawati 100 ikiwa ni msaada kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati mapema hii leo.

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akikabidhi msaada wa madawati 100 kutoka kutoka benki hiyo katika kusaidia jitihada za mkoa wa Tabora kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa hii leo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Dkt. Yahaya Nawanda (Kushoto)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani (wa tano kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Dkt. Yahaya Nawanda (wanne kushoto)  wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali na chama mkoa wa Tabora pamoja na maofisa wa benki ya Exim walioongozwa na Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu (Katikati) wakati maofisa hao wa benki hiyo walipotembelea ofisi ya mkuu wa mkoa huyo ili kukabidhi msaada wa madawati 100 ikiwa ni msaada kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati mapema hii 

Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Dkt. Yahaya Nawanda (Kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kupokea msaada wa madawati 100 kutoka kutoka benki ya Exim katika kusaidia jitihada za mkoa wa Tabora kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa hii leo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani na Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu (Kulia)

…………………………….

Na Mwandishi Wetu-Tabora

Benki ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 mkoani Tabora ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa benki hiyo wa kutoa msaada wa madawati 1000 katika mikoa mbalimbali hapa nchini ili kuchangia utoaji wa elimu bora kupitia mpango wake wa uwajibikaji wa Jamii (CSR) ujulikanao kama Exim Cares.

Madawati hayo yalikabidhiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Benki ya Exim  Bi Zainabu Nungu kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa huyo Mkoa mapema hii leo.

Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na viongozi wengine waandamizi wa Mkoa huo akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Dkt. Yahaya Nawanda, Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg Solomon Kasaba, Afisa Elimu Mkoa wa Tabora Ndg Juma Kaponda, Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Tabora Ndg Nyahori Mahumbwe, Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Tabora Ndg Joel Mkuchika na wadau wengine wa elimu.

Akizungumza mara tu baada ya kupokea msaada huo Balozi Buriani pamoja na kuishukuru benki ya Exim kwa kutoa msaada huo, alisema msaada huo unakwenda sambamba na jitihada za serikali za kuboresha hali ya elimu mkoani humo na kwamba msaada huo utasaidia kupunguza uhitaji wa madawati uliotokana na miradi mingi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa mkoani humo.

“Msaada huu utasaidia kupunguza changamoto ya uhaba wa madawati katika baadhi ya shule zetu…tunashukuru sana wenzetu wa Benki ya Exim kwa msaada huu na tunaomba muendelee kusaidia kwenye maeneo mengine pia ikiwemo sekta ya afya. Mheshimiwa Rais anapambana kutafuta fedha kwa ajili ya miradi mikubwa inayoendelea nchini hivyo ni jambo linalotia moyo kwake kuona wadau kama mabenki mkiendelea kumuunga mkono ” Alisema.

Aidha Balozi Buriani alizitaja baadhi ya shule zitakazonifaika na msaada huo kuwa ni baadhi ya shule zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora na Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ambazo zinazokabiliwa na uhaba mkubwa wa madawati.

Kwa upande wake Bi Zainabu Nungu alisema kuwa benki hiyo imejitolea kusaidia katika kuboresha ustawi wa jamii kupitia misaada ya kijamii ikiwemo elimu na kwamba wameguswa sana na suala la changamoto ya madawati kwenye baadhi ya maeneo hapa nchini, sababu iliyosababisha wao kuchukua hatua hiyo ili kuboresha zaidi sekta hiyo muhimu.

“Ni furaha kwetu kuwa sehemu ya kutatua changamoto kwenye sekta muhimu kama hii. Huu ni mwendelezo tu bado tunaendelea na mikoa mingine kwa kuwa lengo ni kutoa msaada wa madawati 1000 kama tulivyoahidi wakati tunazindua mpango huu mwishoni mwa mwaka jana,’’ alisema Bi Zainabu Nungu huku akiitaja mikoa mingine ambayo imekwisha nufaika na mpango huo kuwa ni Dodoma, Mwanza, Lindi, Shinyanga na Mwanza

Alishauri pia wanafunzi na walimu watakaonufaika na msaada huo kutunza madawati hayo ili yaweze kutumika kwa muda mrefu na hivyo kusaidia walengwa wengi zaidi.

About the author

Alex Sonna