Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA IKULU DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam .

About the author

mzalendoeditor