Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

güvenilir casino siteleri

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

nerobet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

caddebet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli

tipobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

caddebet, caddebet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

cratosroyalbet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

sahabet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

google

ganobet

tophillbet

marsbahis

atlasbet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

grandpashabet

pusulabet

sekabet

marsbahis

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

imajbet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

casibom

vdcasino

mislibet giriş

robinbet

betpark

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

monobahis, monobahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

nerobet

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

jestbahis, jestbahis giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI MKENDA:’DOLA MIL 5 ZATOLEWA KUKAMILISHA UJENZI WA TAASISI YA SAYANSI YA BAHARI ZANZIBAR’

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akizungumza na watumishi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022. (Picha Zote Na Mathias Canal)
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akizungumza na watumishi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022. Wengine pichani ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof William Anangisye (Kushoto) na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Keneth Hosea (Kulia).
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akikagua eneo lililoungua la Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akikagua ujenzi wa majengo ya Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akikagua ubora wa vifaa vya kufundishia masomo ya uvuvi wakati alipotembelea Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda akikagua ujenzi wa majengo ya Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022.
Sehemu ya watumishi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda alipotembelea katika taasisi hiyo kukagua ujenzi wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja tarehe 9 Julai 2022.

…………………………….

Na Mathias Canal, WEST-Zanzibar

Serikali imetoa kiasi cha Dola Milioni tano (USD Mil 5) kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa majengo ya Taasisi ya Chuo cha Bahari Zanzibar ambacho ni kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kilichopo katika eneo la Buyu mjini Unguja Visiwani Zanzibar.

Fedha hizo zimetolewa ambapo UDSM imetakiwa kuhakikisha kuwa inatekeleza kwa ufanisi mkubwa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu usimamizi wa mradi wa Benki ya Dunia wenye takribani Trilioni moja.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda ameyasema hayo tarehe 9 Julai 2022 wakati akikagua ujenzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar iliyopo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati akiwa katika ziara ya siku moja kisiwani Unguja.

Waziri Mkenda amesema kuwa mradi huo wa mageuzi ya kiuchumi kupitia elimu ya juu una lengo la kuboresha mitaala na miundombinu ikiwemo kujenga kampasi mpya za vyuo vikuu pia unalenga kutoa ujuzi unaotakiwa na soko hasa uchumi wa viwanda.

Prof Mkenda amempongeza Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kusimamia na kukagua mara kwa mara ujenzi wa maabara ya muda katika chuo hicho kutokana na maaba ya chuo hicho ikiwemo ofisi kuungua mwishoni mwa mwaka jana katika eneo la Malindi.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkenda amemtaka Makamu Mkuu wa Chuo cha Ardhi ambao ni wasimamizi wa ujenzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari-Zanzibar kuhakikisha anafika haraka iwezekanavyo mjini Zanzibar ili kukagua na kuhakikisha dosari zilizopo katika ujenzi wa chuo hicho zinapatiwa ufumbuzi wa haraka.

“Hatutaruhusu Chuo chetu kikuu chochote ambacho kinafundisha wataalamu halafu kisimamie kazi isiridhishe, tunataka kazi ikisimamiwa na chuo chetu chochote iweze kuakisi ule ubora ambao tunatarajia ” Amekaririwa Waziri Mkenda

Waziri Mkenda amesema kuwa hata kama muda wa usimamizi wa mradi umekwisha lakini mkandarasi anapaswa kuhakikisha kuwa anakamilisha dosari zote zilizopo ikiwemo ubovu wa marumaru.

Amesema kuwa haitokuwa kazi ngumu kwake kufumua uongozi endapo kazi haitaenda vizuri kama ilivyokusudiwa kwa mujibu wa taratibu za ujenzi na makubaliano katika mkataba wa ujenzi.

Kadhalika Waziri Mkenda amesisitiza kuwa wanafunzi wanaosoma kozi zinazohusu uvuvi wanapaswa kufundishwa kwa vitendo na kupewa kazi za mara kwa mara za kwenda baharini kwa ajili ya kujifunza uvuvi kwa vitendo.

About the author

Alex Sonna