Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

matadorbet

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

mercurecasino

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

İmajbet

İmajbet

banka hesabı kiralama

Featured Kitaifa

JAFO AZINDUA KAMPENI YA “BAHARI SAFI NI JUKUMU LANGU”, AUNGANA NA WADAU WA MAZINGIRA KUFANYA USAFI FUKWE ZA BAHARI

Written by Alex Sonna

 Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe.Godwin Gondwe akifanya usafi katika fukwe za bahari Ramada jijini Dar es Salaam akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo pamoja na wadau wa mazingira kwenye uzinduzi wa kampeni ya “Bahari Safi ni Jukumu langu”.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo akiwa pamoja na wadau mbalimbali wa mazingira wakifanya usafi katika fukwe za bahari leo Julai 8,2022 Ramada Jijini Dar es Salaam kwenye uzinduzi wa kampeni ya “Bahari Safi ni Jukumu langu”. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo akipanda mti kwenye fukwe za bahari Ramada Jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni ya “Bahari Safi ni Jukumu langu”. Meneja Kanda ya Mashariki Kaskazini-NEMC Bw.Arnold Mapinduzi akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya “Bahari Safi ni Jukumu langu” ambapo aliungana Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo pamoja na wadau mbalimbali wa mazingira kufanya usafi kwenye fukwe za bahari leo Julai 8,2022 Ramada Jijini Dar es Salaam. Balozi wa Mazingira, Bi.Winfrida Shonde akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya “Bahari Safi ni Jukumu langu” ambapo aliungana Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo pamoja na wadau mbalimbali wa mazingira kufanya usafi kwenye fukwe za bahari leo Julai 8,2022 Ramada Jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

**********************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani jafo ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira  (NEMC) kusimamia sheria ya mazingira kwa kuhakikisha wanatembelea hoteli zote ambazo wameshindwa kuendana na ajenda ya kimazingira na kuwachukulia hatua.

Waziri Jafo ameyasema hayo leo Julai 8,2022 wakati akizindua kampeni ya “Bahari Safi ni Jukumu langu” na kuungana na wadau wa mazingira pamoja na wananchi kufanya usafi katika eneo la Ramada Kunduchi Jijini dar es Salaam.

“NEMC hakikisheni mnawachukulia hatua wale wote ambao maeneo yao ya hoteli mazingira si masafi,na nipate ripoti ofisini kwangu ni hoteli ngapi zimeshindwa kucomply na mmezichukulia hatua”. Amesema 

Aidha Waziri Jafo amewataka wamiliki wa hoteli zilizopo kwenye ufukwe wa habari kuwa na wajibu wa kufanya usafi na kupanda miti maalumu ya fukwe ili kuhakikisha fukwe zinakuwa safi na salama kwa viumbe hai wa baharin.

Pamoja na hayo amewaagiza wenye viwanda kuhakikisha wanalinda mazingira katika eneo lao lote la kiwanda kuanzia mbele ya kiwanda hadi kwenda kwenye barabara ili Jiji liendelee kuwa safi na salama.

“Haiwezekani mtu anakiwanda kikubwa, amefanya uwekezaji lakini mbele ya kiwanda unakuta kuna makopo, kuna chupa pamoja na uchafu wa kila aina, anajukumu la kulinda mazingira kwa kuhakikisha mbele kuna kuwa safi na hata kwa kupanda miti mizuri na mji kuendelea kuwa safi”. Amesema Waziri Jafo.

Kwa upande wake Meneja Kanda ya Mashariki Kaskazini-NEMC Bw.Arnold Mapinduzi amesema kila mtu anawajibu wa kutunza na kulinda mazingira na hii ni kutimiza haki ambayo mtanzania anatakiwa kuishi kwenye mazingira ambayo yapo safi na salama ili aweze kujilinda kutokana na mlipuko wa magonjwa mbalimbali 

Hata hivyo amezitika taasisi mbalimbali nchini kuendelea kuhamasisha jamii katika utunzaji wa mazingira ili miji iendelee kuwa safi na salama na kuepuka milipuko ya magonjwa katika miji.

“NEMC tutaendelea kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau mbalimbali wa mazingira ili juhudi na uhifadhi wa mazingira ziweze kuendelea hasa kupitia kampeni hii ya “Bahari Safi ni Jukumu langu” ambayo dhumuni lake ni kuhamasisha jamii kutunza na kulinda mazingira”. Amesema Bw.Mapinduzi.

About the author

Alex Sonna