Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi msaada wa vifaa maalum vya kupima mapigo ya moyo na Oksijeni vinavyofahamika kama Hand Held Pulse Oximeter kwa Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili Sr. Zuhura Mawona kwaajili ya Wodi ya Watoto Njiti leo 5 Julai 2022.