Featured Kitaifa

CHAMA CHA MADAKTARI TAWI LA JKCI WAHAMASISHA WANACHAMA KUJISAJIRI

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia Tanzania Dkt. Samweli Rweyemamu akizungumza na madaktari wa Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa kikao cha kuhamasisha usajili wa wanachama kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini  Dar es Salaam.

 Baadhi ya madaktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia Tanzania wakati wa kikao cha kuhamasisha usajili wa wanachama wa chama hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa chama cha Madaktari na Wafamasia Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.Godwin Sharau akizungumza na madaktari wa Tawi hilo wakati wa kikao cha kuhamasisha usajili wa wanachama kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor