Featured Kitaifa

MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam kuhitimisha  maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya  Dawa za Kulevya  Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja hivyo , Julai 2, 2022. Kutoka kulia  ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, Kamishina Jenerali wa Mamlaka  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, Mbunge wa Viti Maalum, Fatuma Tawfiq  na wa tatu kushoto ni  Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam, Hassan Rugwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha  maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya  Dawa za Kulevya Duniani  yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja  jijini Dar es salaam.

Kamishina Jenerali  wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya akizungumza mbele ya mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  katika kilele cha  maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya  Dawa za Kulevya Duniani  yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja  jijini Dar es salaam, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kilele cha  maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga Matumizi ya  Dawa za Kulevya Duniani  yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja  jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala ya kitabu cha Riwaya  kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania  (TBC), Elizabeth Mramba  (kushoto) katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja  jijini Dar es salaam, Julai 2,  2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata  utepe wakati alipozindua kitabu cha Riwaya  kiitwacho Punje ya Tumaini iliyotungwa na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania  (TBC), Elizabeth Mramba  (kushoto) katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Kwenye Viwanja Mnazi Mmoja  jijini Dar Es Salaam, Julai 2,  2022. Katikati ni Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya, kwenye viwanja viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa   Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania  (TBC), Elizabeth Mramba  (kushoto)  kuhusu  kitabu cha Riwaya   kiitwacho Punje ya Tumaini katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja Mnazi Mmoja  jijini Dar Es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kamishina Jenerali  wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya  (wa pili kushoto) wakati alipotembelea banda la  Taasisi ya Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR) katika kilele cha  maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi ya  Dawa za Kulevya Duniani  yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnanzi Mmoja  jijini Dar es salaam

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor