Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKISOMA HOTUBA YA KUAHIRISHA BUNGE

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba  ya kuahirisha  Mkutano wa 7 wa Bunge la 12,  bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akienda mbele ya wabunge kusoma  hotuba  ya kuahirisha  Mkutano wa 7 wa Bunge la 12, bungeni jijini Dodoma, Juni 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor