Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WALIMU SHULE ZA MSINGI KATA YA IPAGALA WAPONGEZWA KWA KUWEZESHA IDADI KUBWA YA KUFAULISHA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2021

Written by Alex Sonna
NAIBU Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Omary Kipanga, akizungumza na wazazi wa shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akizungumza na wazazi wa shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana.
Naibu wazairi wa Kilimo na Mbunge wa Dodoma mjini Antony Mavunde,akizungumza na wazazi wa shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana.
Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri,akizungumza na wazazi wa shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana.
SEHEMU ya Walimu,Wananfunzi na Wazazi wakifatilia hotuba mbalimbal wakati wa  hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana  wazazi wa shule za msingi za kata ya Ipagala.
NAIBU Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Omary Kipanga, akiwakabidhi vyeti na zawadi mbalimbali walimu na wanafunzi waliofanya vizuri wakati wa hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana kwa shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi mara baada ya kumaliza kwa hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana kwa 
shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye 
…………………………………………..
Na Eva Godwin-DODOMA
NAIBU Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia   Omary Kipanga,amewapongeza Walimu wa Shule ya  Msingi Mtemi Mazengo kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana.
Kipanga ameyasema hayo jijini Dodoma wakati  akizungumza na wazazi wa shule za msingi za kata ya Ipagala kwenye hafla ya kuwapongeza walimu kwa kuwezesha idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu katika mtihani wa darasa la saba mwaka jana.
“Kwanza tuwapongeze Walimu kwa kuwalea na kuwafundisha Wanafunzi wetu nidhamu maana inaonyesha nidhamu yao ipo juu na ndio maana ufaulu wao pia upo juu “Tulitegemea labda huenda shule za International ndio zingeongoza,lakini tumefurahi zaidi kuona Shule za Msingi pia zinafanya vizuri”,amesema 
” Katika Bajeti hii tuliyoimaliza juzi Rais Samia Suluhu ametuagiza kutenge fedha bilioni 40 kwalajili ya  kujenga Chuo kikubwa cha Tehama hapa Jijini Dodoma  Nara, hiki kitakuwa chuo cha mfano”.amesema Kipanga
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka, amewataka Walimu wajenge ushindani wa kuwa na ufaulu wa kitaifa kutoka Shule za Serikali,Kuanzia Sekondari na Msingi.
“Matokeo mazuri ni ushindani lakini pia Matokeo mazuri ni Mzazi,Mtoto na Mwalimu, Walimu  wanapaswa kueshimiwa na kutunzwa” ,amesema 
“Na ufaulu wa Mtoto ndio utakaompeleka Shule najua mnalitambua hili na muendelee kulitambua hili kwa Wazazi wote lakini”.amesema Mtaka

Aidha Mtaka amesema kuwa katika kipindi atakachokuwa mkoani hapa ajenda yake kubwa ni elimu ili kuutoa mkoa wa katika nafasi za mwisho kitaifa.

“Katika matokeo ya mwaka unaokuja zile nafasi za Dodoma kuwa mkia hapana hatutaruhusu tena na hivi sasa tupo katika mchakato wa kununua mashine kubwa ya kuprinti mitihani print unit ya mkoa ambayo itakuwa na uwezo wa kuchapisha mitihani ya mkoa mzima ili watoto wetu wapate mazoezi ya kutosha”amesema

Naye Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri, amewataka Wazazi kuwa na ukaribu na Watoto wao pamoja na kuwashauri wawe na Marafiki wenye shauku ya Ufaulu ili kuepuka tabia zisizo faa kwa Watoto.

“Wazazi ongeeni na watoto wenu kuchagua marafiki wenye tabia bora kumeibuka kwa tabia za urawiti kwa watoto mashuleni ongeni na watoto wenu ili kudhibiti tabia hizo watoto wanafanyiwa lakini wakaa kimya hivyo ni wajibu wenu kuchukua hatua”amesema Shekimweri

Kwa upande wake Naibu wazairi wa Kilimo na Mbunge wa Dodoma mjini Antony Mavunde, amewataka wazazi kuwapa ushirikiano walimu ili kuwasaidia watoto kufanya vizuri katika masomo yao.

“Wazazi tuwape ushirikiano waalimu wetu kwani wao ndiyo wanakuwa na watoto wetu kwa muda mrefu tunataka Dodoma kufanya mapinduzi katika sekta ya elimu lazima tuutangaze mkoa wetu kwa ufaulu mzuri hatutaki kuwa Dodoma ile ambayo mtu akiwa na shida ya msichana wa kazi simu ya kwanza anapiga Dodoma na Iringa utamaduni huo lazima ufe mara moja”amesema Mavunde

About the author

Alex Sonna