Featured Kitaifa

RAIS DKT. MWINYI AWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kulia)kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla uteuzi alikaimu nafasi hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Said Hassdan Said (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla  alikuwa Mwanasheria Mkuu Awamu ya 7 Uongozi uliopita .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Salma Ali Hassan (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mkurugenzi Mashtaka Zanzibar .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Mohamed Ali Mohamed  (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibarkabla alikuwa Mrajis wa Mahakama Kuu.

Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakishuhudia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwaapisha  Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Baadhi ya Wageni walioalikwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakishuhudia kuapishwa kwa Majaji wapya walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na  Viongozi wengine ni miongoni mwa Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal  Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  ni miongoni mwa Viongozi  waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor