Featured Kitaifa

OFISI YA WAZIRI MKUU YATOA MAFUNZO YA UJUZI TEPE ‘SOFT SKILLS’ KWA MAKUNDI MAALUMU YA VIJANA MANISPAA YA SHINYANGA

Written by mzalendoeditor
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Julius Tweneshe akizungumza wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) na Wamama Wadogo (Young Mothers) katika Ukumbi wa Liga Hotel Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga tarehe 28 Juni, 2022 , 30 Juni, 2022.
 
***
 
Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) imetoa mafunzo ya ujuzi tepe ‘Soft Skills’ kwa makundi maalum ya vijana katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga yenye lengo la kujitambua na kujitathmini.
 
Akizungumza wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yanayofanyika kuanzia leo Jumanne Juni 28,2022 hadi Juni 30,2022 katika ukumbi wa Liga Hotel Mjini Shinyanga, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Julius Tweneshe amezitaja miongoni mwa mada zitakazofundishwa kuwa ni pamoja na vijana hao kujitambua kama wajasiriamali, ujasiriamali na masoko na urasimishaji wa biashara na usimamizi wa fedha.
 
Mada zingine ni kuhusu afya ya uzazi na ujinsia, afua zilizopo kwa ajili ya vijana wenye ulemavu na mama wadogo, afua zilizopo kwa ajili ya vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, fursa za uwezeshaji wa vijana kiuchumi ngazi ya taifa na mkoa, fursa za mitaji na huduma kwa wajasiriamali zinazotolewa na benki.
 
“Vijana hawa pia watapewa mafunzo kuhusu stadi za uongozi, taratibu za uundwaji wa vikundi (uandaaji wa katiba na muhtasari wa vikao), uundwaji wa vikundi vya uzalishajimali vya vijana (kuchagua mwenyekiti,katibu, mweka hazina na wajumbe),kubainisha mahitaji ya vikundi na uandaaji wa andiko mradi”,ameongeza Tweneshe.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Julius Tweneshe akizungumza wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) na Wamama Wadogo (Young Mothers) katika Ukumbi wa Liga Hotel Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga tarehe 28 Juni, 2022 , 30 Juni, 2022.
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Idara ya Maendeleo ya Vijana Godfrey Massawe akitoa Elimu kwa Vijana wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Waviu na Wamama Wadogo (Young Mothers) yanayofanyika katika Ukumbi wa Liga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Idara ya Maendeleo ya Vijana Godfrey Massawe akitoa Elimu kwa Vijana wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, WAVIU na Wamama Wadogo (Young Mothers) yanayofanyika katika Ukumbi wa Liga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Idara ya Maendeleo ya Vijana Godfrey Massawe akitoa Elimu kwa Vijana wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Waviu na Wamama Wadogo (Young Mothers) yanayofanyika katika Ukumbi wa Liga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Idara ya Maendeleo ya Vijana Atupokile Elia akitoa Elimu kwa Vijana wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Waviu na Wamama Wadogo (Young Mothers) Manispaa ya Shinyanga.
Afisa Uendelezaji Biashara Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Shinyanga Joseph Taban akitoa mada kuhusu Ujasiriamali na Masoko wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Waviu na Wamama Wadogo (Young Mothers) Manispaa ya Shinyanga.

Kaimu Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto kutoa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Pudentiana Rwebangira akitoa mada inayohusu Afya ya Uzazi kwa Vijana wakati wa Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, Waviu na Wamama Wadogo (Young Mothers) Manispaa ya Shinyanga.

Sehemu ya Vijana wakiwa kwenye Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, WAVIU na Wamama Wadogo (Young Mothers) Manispaa ya Shinyanga yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

Sehemu ya Vijana wakiwa kwenye Mafunzo Tepe (Soft Skills) kwa Makundi Maalumu ya Vijana Wenye Ulemavu, WAVIU na Wamama Wadogo (Young Mothers) yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

About the author

mzalendoeditor