Featured Kitaifa

CHONGOLO AFUNGA MAFUNZO MAALUM KWA VIJANA NCHINI BURUNDI

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD FDD Ndugu Reverien Ndikuriyo wakati wa kufunga  mafunzo maalum ya Uzalendo kwa Vijana Zaidi ya 500 vyalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Vijana wakati wa kufunga mafunzo maalum ya Uzalendo yalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.

About the author

mzalendoeditor