Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

MRADI WA MAJI WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI SIMIYU,MAANDALIZI YASHIKA KASI

Written by Alex Sonna

Mtaalamu wa Afya, pamoja na ndugu wa karibu wa familia katika moja ya kaburi lililofukuliwa na mabaki ya binadamu kupatikana wakijiridhisha kabla ya taratibu nyingine za kifamilia kufanyika, katika eneo la Nyakabindi, Bariadi. Baadhi ya maeneo ya maziko yanahamishwa ili kupisha utekelezaji wa mradi wa maji wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Simiyu.

Kazi ya kufukua kaburi ili kuhamisha mabaki ikiendelea katika moja ya eneo la maziko wilayani Itilima.

Mmoja wa viongozi wa familia aliyechaguliwa kusimamia zoezi la kuhamisha eneo la maziko, Bw.Saguda Mayenga akipokea asante kutoka Serikalini wa ushirikiano wa familia yake baada ya kubainika kwa masalia katika makaburi matatu eneo la Nyakabindi , Bariadi.

Wataalamu wakichukua takwimu muhimu katika moja ya eneo la maziko kya familia mkoani Simiyu, kabla ya zoezi la kuhamisha kaburi  halijaannza.

Eneo jipya la maziko likiandaliwa ili kuweza kuhifadhi mabaki yatakayopatikana katika zoezi la kuhamisha eneo la maziko, ili kupisha utekelezaji wa mradi wa maji wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Simiyu.

…………………………………………..

Mradi wa maji wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Simiyu maandalizi yake yameshika kasi ambapo hivi sasa kazi ya kuhamisha maeneo ya maziko ili kupisha eneo la bomba kuu la maji litakaloanzia ziwa Victoria inaendelea.

Kwa mujibu wa mratibu wa mradi huo Mhandisi Mwajuma Waziri wa Wizara ya Maji amesema kazi hiyo ya kutoa nafasi kwa kuhamisha maeneo ya maziko ni shirikishi na inawahusisha ndugu wa familia pamoja na viongozi wa Serikali za Mitaa katika maeneo yanayohusika.

Mhandisi Waziri amesema jumla ya makaburi 78 yanatarajia kuhamishwa, na hadi leo Juni 20 zaidi ya makaburi 22 yamechimbwa na kuhamishwa mabaki kwa kushirikiana na familia husika, na viongozi wa Serikali za Mitaa, na kuyazika katika maeneo mapya yaliyoanishwa na familia husika, nje ya eneo la bomba kuu. 

“Kila familia iliyoadhirika na zoezi hili inapewa asante na serikali, na endapo mabaki hayatapatikana kwasababu yoyote, ikiwamo kukosea alama za mahali lilipo kaburi, wakati wa ujenzi mabaki yakipatikana basi familia husika itapewa stahiki kama ilivyopangwa na Serikali” Mhandisi Waziri amewaambia wakazi wa Itilima wakati wa kuhamisha mabaki yaliyopatikana katika  moja ya kaburi, na kuongeza zoezi lote linagharamiwa na Serikali.

Ameongeza kila kaburi litakalochimbwa kutakuwa timu ya wataalamu wa afya watakagua mabaki ili kujiridhisha endapo ni mabaki ya binadamu, ili kuweka uwajibikaji kwa jamii na malipo.

 

Mradi wa maji wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Simiyu ni moja ya mradi wa maji utakaoleta mapinduzi makubwa kwa kuwahudumia wananchi, mifugo na kuendeleza masuala ya kilimo.

About the author

Alex Sonna