Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA MAKAMU WA RAIS AKIWASALIMIA WANANCHI KWENYE NDEGE

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwasalimu abiria mbalimbali waliosafiri na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati akiwa safarini kutokea Dodoma kuelekea Dar es salaam leo Tarehe 16 Juni 2022.

About the author

mzalendoeditor