Featured Kitaifa

KINANA ATETA NA BALOZI WA UBELIGIJI NCHINI TANZANIA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.

Written by mzalendoeditor

  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdulrahman Kinana akutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubeligiji  Nchini Tanzania, Bw. Peter Van Acker,  katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Lumumba, Dar es Salaam, Juni 16, 2022. (Picha  Zote na Fahadi Siraji /CCM MAKAO MAKUU)

About the author

mzalendoeditor