marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

grandpashabet giriş

ibizabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

celtabet, celtabet giriş

jasminbet, jasminbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

trendbet

padişahbet

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

betwoon

deneme bonusu

İkimisli

onwin

nakitbahis

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

imajbet

lunabet

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

Grandpashabet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

tipobet

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

betist

betist

Featured Kitaifa

RC MWANZA AUNGANA NA BENKI YA NBC KUWAFUNDA WAFANYABIASHARA KUKUZA MITAJI YAO

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC  kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa jijini Mwanza hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali wa Benki ya NBC hiyo Bw  Mussa Mwinyidaho akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa jijini Mwanza hivi karibuni ili kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo.

Baadhi ya wateja wa benki ya NBC jijini Mwanza wakiwa kwenye hafla hiyo.

……………………………………

Na Mwandishi Wetu,Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel hivi karibuni aliungana maofisa waandamizi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuwafunda wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa  jijini Mwanza wakilenga kuwapa ujuzi wa jinsi ya kukuza biashara zao kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla.

Akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa ajili ya wateja wadogo na wakubwa wa jijini humo mwishoni mwa wiki, Mhandisi Gabriel aliwashauri wafanyabiashara hao kuhakikisha wanatumia vema huduma za kifedha zinazotolewa na Benki ya NBC kukuza mitaji yao ili kujiongezea faida zaidi.

“Kikubwa ni kuhakikisha tu kwamba kila unachokifikiria kukifanya kuhusu biashara ukifikirie kwa ukubwa wake. Kama ni biashara ya duka basi hakikisha unafungua duka kubwa lenye huduma nzuri na za kisasa ili uweze kuvutia na kuhudumia wateja wengi iwekanavyo ili kukuza mtaji wako lakini pia uweze kuvutia taasisi za kifedha zishawishike kuendelea kukuunga mkono,’’ alisema

Hafla hiyo ilienga kujadili fursa za biashara na kutambulisha huduma mpya za benki hiyo kupitia  klabu yake Biashara inayofahamika kama NBC Business Club,

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali wa Benki hiyo Bw  Mussa Mwinyidaho alisema benki  hiyo imedhamiria kuboresha huduma zaidi ili wateja wake waendelee kufurahia huduma zilizorahisishwa zaidi ili kuendana na matakwa ya shughuli zao ili waweze kukuza biashara zao.

“Ni kutokana na ubunifu wa huduma na fursa mpya kila mara ndio sababu tumekuwa na huu utaratibu wa kukutana na nyinyi wateja wetu ili kuwasilisha kwenu huduma hizi mpya. Kupitia huduma yetu ya NBC Business ClUB tunaweza kutangaza huduma mpya kwa ajili ya wajasiriamali ikiwemo huduma ya ‘Commercial Property Financing’ inayowawezesha wajasiriamali wenye majengo ya biashara kupata mikopo yenye marejesho nafuu sambamba na huduma ya ‘Commercial Asset Financing’ inayowawezesha wajasiriamali hao kukopa mitambo kwa ajili ya biashara na shughuli za ukandarasi.’’

“Pia kupitia tukio hili la leo wateja wetu jijini Mwanza watapata fursa ya kufahamu huduma zetu za mikopo bila dhamana  ikiwepo huduma ya ‘Distributor financing’ inayowawezesha wajasiriamali kupata mikopo ya kusambaza bidhaa zao  bila dhamana pamoja na huduma ya ‘Purchasing Order Financing’ inayowawezesha wajasiriamali kupata mikopo kwa kutumia Hati ya manunuzi yaani LPO ,’’ alisema.

About the author

Alex Sonna