marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

gameofbet

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

mavibet giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

betixir giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

sahabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

ligobet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

agb99

galabet

norabahis

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

Featured Kitaifa

SEKTA ZA MIFUGO SMT NA SMZ ZAENDELEA KUWEKA MIKAKATI YA MAENDELEO

Written by Alex Sonna

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Dkt. Charles Mhina (kushoto) akifungua kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo aliwasisitiza wajumbe kujadili kwa kina changamoto zinazoikabili Sekta ya Mifugo na kuzitafutia utatuzi wake ili kuendeleza sekta hiyo. Kulia ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Bi. Asha Zahran. Kikao hicho kilifanyika  Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof. Hezron Nonga akichangia mada wakati wa kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichojadili maendeleo ya Sekta ya Mifugo. Kikao hicho kilifanyika  Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Huduma za Ugani, Dkt. Angelo Mwillawa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichojadili maendeleo ya Sekta ya Mifugo. Kikao hicho kilifanyika Jijini Dodoma.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar, Kanali Ali Hamad akizungumza wakati wa kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichojadili maendeleo ya Sekta ya Mifugo. Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango Sekta ya Mifugo, Bw. Venance Ntiyalundura akiwasilisha taarifa kwenye kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichojadili maendeleo ya Sekta ya Mifugo. Kikao hicho kilichofanyika  Jijini Dodoma.

Washiriki wa kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichojadili maendeleo ya Sekta ya Mifugo wakifuatilia taarifa zilizokuwa zinawasilishwa kwenye kikao hicho. Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma.

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo (SMZ), Bi. Asha Zahran akifunga kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo amewasihi wajumbe kuhakikisha wanayafanyia kazi maazimio yote yalioafikiwa kwa wakati ili kuleta maendeleo kwenye Sekta ya Mifugo. Kikao hicho kilichofanyika  Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Utafiti, Mafunzo na Huduma za Ugani, Dkt. Angelo Mwillawa akifafanua jambo wakati wa kikao cha Ushirikiano kati ya Serikali ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichojadili maendeleo ya Sekta ya Mifugo. Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma.

…………………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

Sekta za Mifugo za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kupitia Makatibu wake wakuu wamekutana na kupitia utekelezaji wa maazimo yaliyowekwa ili kuendeleza sekta hiyo.
Akifungua kikao hicho Kaimu Katibu Mkuu Sekta ya Mifugo (SMT), Dkt. Charles Mhina kwenye ukumbi wa Ofisi ya Jeshi la Zimamoto Jijini Dodoma amesema kuwa serikali ina lengo la kuhakikisha sekta ya mifugo inakua na kuongeza mchango wake kwenye pato la taifa.

Dkt. Mhina amesema kuwa katika kikao kilichopita yapo maazimio yaliyowekwa ambayo yanapitiwa utekelezaji wake, lengo likiwa ni kuhakikisha sekta ya mifugo inawanufaisha wafugaji na wadau walio kwenye mnyororo wa thamani na kuongeza mchango wa sekta kwenye pato la taifa.
“Vikao hivyo vya ushirikiano wa kuendeleza Sekta ya Mifugo vinajadili maendeleo ya sekta katika udhibiti wa magonjwa yanayovuka mipaka, uboreshaji wa kosaafu za mifugo, masoko ya mifugo na mazao yake na kuona ni changamoto zipi zinazoikabili sekta ya mifugo katika pande zote mbili za Muungano ili kuzitatua,” alisema
Dkt. Mhina amesema kuwa kikao hicho kimepitia utekelezaji wa maazimio yaliyowekwa kwenye kikao kilichopita na kuona utekelezaji uliofanyika kwenye baadhi ya maeneo, lakini pia yapo maeneo mapya ambayo wamebaini kuwepo kwa changamoto nyingine ambazo pia tayari wameshaziwekea maazimio ya utekelezaji, lengo kuu ni kuhakikisha sekta inakua kwa pande zote mbili za SMT na SMZ.
Kwa upande wake mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo (SMZ), Bi. Asha Zahran amesema kuwa kupitia vikao hivyo tayari wameshaanza kuona mafanikio yake kwani wapo wataalam kutoka Zanzibar ambao wamepata mafunzo ya kuhimilisha Ng’ombe kupitia kituo cha NIC, mbegu bora za ng’ombe, kilimo cha malisho pamoja na masuala ya udhibiti wa magonjwa kutoka SMT. Hivyo ushirikiano huu ukiendelea utawezesha sekta ya mifugo kuimarika kwa pande zote za Muungano.
Naye mwakilishi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Allan Bendera alisema kuwa Wizara inaendelea kuhakikisha changamoto zinazohusu Muungano zinatatuliwa ili kudumisha muungano kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hivyo kwa upande wa Sekta ya Mifugo changamoto zilizojitokeza zitaendelea kufanyiwa kazi kwa pande zote za Muungano lengo likiwa ni kuwasaidia wafugaji waweze kuongeza kipato na kuongeza kipato cha Sekta ya Mifugo kwenye pato la Taifa.

About the author

Alex Sonna