Featured Kitaifa

NBS YAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI WA MITANDAO YA KIJAMII MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022

Written by mzalendoeditor

Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Said Ameir akizungumza wakati wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers/Youtubers) kutoka mikoa mbalimbali nchini kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers/Youtubers) kutoka mikoa mbalimbali nchini kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022.
 
Mafunzo hayo ya siku mbili yaliyoanza leo Jumanne Juni 14,2022 yanafanyika katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa.
 
Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Said Ameir amesema mafunzo hayo ni sehemu ya Programu ya uhamasishaji ushiriki wa vyombo vya habari katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika Agosti 23,2022
 
“Tumeanza na vyombo vya habari vya mtandaoni, tutakutana pia na makundi mengine ya waandishi wa habari wakiwemo Wahariri, Jukwaa la wahariri na Radio za Mikoani”,amesema Ameir.
 
“Katika mafunzo haya ya siku mbili waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii watajengewa uwezo/uelewa kuhusu Sensa na Sheria ya Takwimu,umuhimu wa sense ya watu na makazi na maandalizi yake,madodoso ya sense na maudhui yake, maeneo ya kuhesabia watu ya sense ya watu na makazi ya mwaka 2022,Matumizi ya Teknolojia katika senda ya watu na makazi kutoka kwenye makaratasi hadi kwenye Kishikwambi”,amesema Ameir.
 
Amesema pia waandishi hao wa habari wa mitandao ya kijamii watajengewa uelewa kuhusu changamoto za uripoti wa sense kwa vyombo vya habari, wajibu wa vyombo vya habari katika kufanikisha sense ya watu na makazi 2022, vyanzo vikuu vya uripoti kwenye sensa ya watu na makazi,maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu sense,vidokezo vya habari kwa mitandao ya kijamii, sense katika mitandao ya kijamii, uchambuzi wa Takwimu kwa ajili ya habari (Interviewing data/data analysis) na mbinu za uripoti na mambo ya kuzingatia.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Said Ameir akizungumza wakati wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers/Youtubers) kutoka mikoa mbalimbali nchini kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yaliyoandaliwa na NBS leo Jumanne Juni 14,2022 katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Said Ameir akizungumza wakati wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers/Youtubers) kutoka mikoa mbalimbali nchini kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yaliyoandaliwa na NBS

Mwanasheria kutoka NBS, Mary Senape akizungumza wakati wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers/Youtubers) kutoka mikoa mbalimbali nchini kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yaliyoandaliwa na NBS

Waandishi wa Habari wa Mitandao ya Kijamii (Bloggers/Youtubers) kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa kwenye mafunzo kuhusu Maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yaliyoandaliwa na NBS

About the author

mzalendoeditor