Featured Kitaifa

DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Written by mzalendoeditor
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi – Zanzibar DK. ALI MOHAMED SHEIN ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa Mujibu wa Kalenda ya Vikao Ya CCM.
 
 Kikao hicho Kimehudhuliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi , Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,  Pamoja na Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi hapo katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar

About the author

mzalendoeditor