Featured Kitaifa

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA CHASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Mhadhiri Msaidizi na Afisa Udahili kutoka Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika,Samuel  Marandu,akimwelezea Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,Kozi zinazopatikana katika chuo hicho baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kabla ya kufunga Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akifurahia jambo mara baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kabla ya kufunga Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe,akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji Prof James Mdoe akiwa katika picha ya pamoja na watumishi mara baada ya kutembelea Banda la Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika katika Maonesho ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi yaliyomalizika leo Juni 13,2022 katika Uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor