Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, awasili nchini Oman kuanza ziara ya kikazi ya siku 3 kwa mwaliko wa Serikali ya Oman.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Sultan Haitham bin Tarik wa Oman walipokea nyimbo za mataifa mawili kati ya Tanzania na Oman baada ya kuwasili Jijini Maskat.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Sultan Haitham bin Tarik wa Oman Jijini Maskat Oman