marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI YAZIPATIA UFUMBUZI HOJA ZA MADEREVA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI NCHINI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akiongea na Waandishi wa habari kuhusu hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kushughulikia hoja na malalamiko takribani 13 kutoka kwa Madereva na Wamiliki wa vyombo vya Usafirishaji nchini Jijini Dodoma Juni 11, 2022.

Sehemu ya Wakuu wa Idara kutoka ofisi hiyo wakifuatilia maelezo ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (hayupo pichani).

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

……………………………………………….

Na Mwandishi Wetu – Dodoma

Serikali imezishughulikia hoja na malalamiko takribani 13 kutoka kwa Madereva na Wamiliki wa vyombo vya Usafirishaji nchini, baada ya wadau hao wa sekta ya usafirishaji nchini kuwasilisha masuala hayo, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

Katika kuimarisha ustawi wa sekta hiyo ili iweze kukuza uchumi wa Taifa, Ofisi hiyo ilikutana na wadau hao kwa nyakati tofauti na kujadili namna bora ya kuzipatia ufumbuzi hoja na malalamiko hususani ya mikataba, mishahara, Posho za safari, Bima ya Afya, Pensheni, Matumizi ya Speed Governor, Usafirishaji wa sumu, mafuta na gesi, Ukaguzi wa magari na magari kuingia vituo vya mabasi.

Akiongea na Waandishi wa habari Jijini Dodoma Juni 11, 2022. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amesema dhamira ya serikali ni kujenga mazingira wezeshi kwa wadau wote wa sekta hiyo wakiwemo madereva na wamiliki wa vyombo vya usafirishaji.

“Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na wadau sekta ya usafirishaji nchini kwa kuhakikisha kero na changamoto zinazoikabili sekta hii zinapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu,” amesisitiza Katambi.

Amefafanua kuwa hoja zote zilizowasilishwa zimefanyiwa kazi kwa kukubaliana katika vikao vya pamoja, ikiwemo Viongozi wa Vyama vya Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji wameahidi kutoa mikataba ya kazi kwa madereva kwa kuzingatia rasimu ya mkataba wa ajira ulioandaliwa na Serikali kwa kushirikiana na wadau.

Amefafanua kuwa kuhusu mishahara ya madereva kupitia Benki, Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji wapo tayari kutekeleza jambo hili. Aidha, Serikali inawashauri madereva kufanya makubaliano na waajiri wao kuhusu suala hili kwa kuzingatia  Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini.

Ameongeza kuwa, Serikali imewaelekeza Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji wahakikishe ifikapo tarehe 30 Julai, 2022 kuwasajili wafanyakazi wao wote katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (NSSF na WCF) wakiwemo madereva. Pensheni kwa Wastaafu na kuwasilisha michango yao kwa wakati

 Mhe,Katambi amebainisha kuwa  suala la Bima ya afya, kwa kuwa ni suala la makubaliano, wamiliki wapo tayari kukubaliana na madereva kuhusu utekelezaji wake.

Amesisitiza kuwa, Suala la matumizi ya Speed Governor badala ya VTS, Wamiliki nao wana mtazamo sawa na madereva kuhusu changamoto za matumizi ya VTS, hivyo serikali imetoa maelekezo kwa mamlaka zinazohusika kulifanyia kazi suala hilo kwa kushirikiana na wadau wa sekta husika.

Suala jingine lililofanyiwa kazi ni Kuhusu posho za safari za ndani na nje ya nchi na Mileage za safari, ambapo Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji wamepokea hoja hii na wameahidi kuendelea kufanya Majadiliano ya Pamoja na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi Madereva na kufunga Mkataba wa Hali Bora kwa lengo la kuboresha posho na maslahi mengine ya Madereva, kwa kuzingatia utofauti uliopo baina ya mwajiri mmoja na mwingine.

Aidha, amefafanua kuwa; utaratibu wa kupakia na kushusha mafuta na gesi, Wamiliki wa Vyombo vya usafirishaji wamebainisha kuwa elimu inaendelea kutolewa kwa madereva ili kuwapa uelewa wa namna suala hili linavyosimamiwa. Aidha, Serikali imeelekeza mamlaka zinazohusika kulifanyia kazi kwa kushirikaina na wadau na kwa kuzingatia muda uliopangwa.

Masuala mengine ni; Kuhusu utaratibu wa kusafirisha sumu, Wamiliki wa Vyombo vya usafirishaji wanao mtazamo kuwa Sulphur sio sumu. Hata hivyo, Serikali imeelekeza mamlaka husika ifanyie kazi hoja hiyo ili kujiridhisha na ukweli wake kwa lengo la kuiwezesha kuchukua hatua stahiki.

Mhe. Katambi ameongeza kuwa, Serikali inaendelea na zoezi la kufanya Kaguzi Jumuishi (Joint Inspection) za wadau wanaoguswa na sekta hii hadi mwezi Agosti. Aidha, serikali imekubaliana na Wamiliki wa Vyombo vya usafirishaji kuwa Jeshi la Polisi liendelea kusimamia ukaguzi wa magari ili kuhakikisha magari mabovu hayaruhusiwi kufanya safari ndani na nje ya nchi na hatua kali ziendelee kuchukuliwa kwa wamiliki watakaobainika kutumia magari mabovu.

Hatua nyingine ni serikali wamekubali kuanzisha Kanzi Data ya Madereva ambapo Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji wameona umuhimu wa hoja hii, hivyo, wameiomba Serikali iharakishe ukamilishwaji wa Kanzi Data hiyo.

Serikali imekubaliana na Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji kuhusu wafanyakazi wake kujiunga na vyama vya wafanyakazi, hivyo kwa kuwa ni suala la hiari kwa wafanyakazi na pia ni moja ya haki zao za msingi kwa mujibu wa Sheria. Hivyo, wameviomba Vyama vya Wafanyakazi kuwahamasisha Madereva kujiunga na Vyama hivyo na kuhakikisha wanaunda Matawi katika Maeneo ya Kazi.

Suala la mabasi ya abiria kuingia kila kituo kwa safari za mikoani, Serikali inaendalea kulifanyia suala hili kwa kuzingatia taratibu zilizopo na kwa kuzingatia mazingira ya ufanyaji hivyo wanaendelea kushirikiana na wamiliki wa vyombo vya Usafirishaji ili kulipatia ufumbuzi wa kudumu.  

Kuhusu kutotimiza wajibu wao; Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji wameona umuhimu wa kuwa na Maafisa Rasilimali Watu katika maeneo yao ya kazi. Aidha, watahakikisha wanawapa elimu ya Sheria za Kazi na kuhakikisha wanakuwa na Sera za Ajira.

Halikadhalika, Naibu Waziri Katambi amewasihi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi kuzingatia utaratibu uliowekwa kisheria katika kuitisha migomo ya wafanyakazi. Hivyo amesisitiza kuwa Serikali itaandaa utaratibu wa kutoa elimu kwa Waajiri wote wa Sekta ya Usafirishaji ili kukuza uelewa kwa Maafisa Rasilimali Watu na Maafisa Mahusiano ili watimize wajibu wao kwa tija ya sekta hiyo.

Aidha, alitoa wito kwa Madereva wasio wanachama wa Vyama vya wafanyakazi kuacha kutumia njia zisizo halali kisheria kuanzisha ama kuchochea migomo kwani kufanya hivyo ni uvunjifu wa Sheria za nchi. Hivyo,serikali itaendelea kuitisha vikao vya mashauriano ya wadau, kama sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya kawaida bila kusubiri kuibuka kwa migogoro.

About the author

Alex Sonna